Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Prof Alfred Sife amefungua mafunzo ya kuwaingiza watumishi wapya kazini "Orientation", huku akisisitiza waajiriwa hao kuifahamu dira, dhima na ushirika kwa kina.
Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili yameanza leo 21 Mei, 2025.