Joined September 2020
5,099 Photos and videos
Pinned Tweet
Sitaki kujua ilikuaje Sitaki kujua ilikua vipi Ninalojua nilikua kipofu Sasa naona Ninaonaaaa🎵 Ninalojua nilikua kiwete Ninatembea Sasa naona ninatembea Yesu ametenda Amenitendea [Sasa ninaona natembea Ametendq kwangu,atakutendea]×2 Amefanyaje sijui Ilikuaje sijui🎶 KKKT-keko
2
12
49
2,241
Modesta Z retweeted
95,000/=
Replying to @bajabiri
Sh ngapi mwl?
1
1
3
395
Modesta Z retweeted
UPDATE: Siku tuliyoenda kumsalimia Bibi yetu, kiukweli alifurahi sana! Ila hizi hali za umaskini wanazopitia mama/bibi zetu, % kubwa zinachangiwa na ndugu wa karibu. _ Baada ya kupost ile video ya kwanza ndugu wanaoishi Dar. Wakaanza kupiga simu wakilalamika kwanini tumempost ndugu yao, wakati huo, wao hawana msaada wowote na kwasababu za kulalamika kwao inaonekana wanafurahia mateso anayopata na mbaya zaidi, wamempigia simu kumtukana. FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA ZINAPITIA MATESO NA UFUKARA, MARA NYINGI INAKUWA SABABU NI NDUGU WA KARIBU WANAHUSIKA. Ila namshukuru Mungu baadhi ya ndugu zake wa karibu wamebariki hili zoezi letu kurudisha tabasamu kwa bibi yetu. _ Tuendelee kumchangia bibi yetu ili tukabadilishe maisha yake kwa ujumla na tuwe tumemkopesha Mungu. (Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.- Mithali 19: 17) _ Number za kutuma Sadaka kwa ajili ya Bibi yetu. Mpesa Lipa Namba: #58240194 Mpesa: #0748618888 Airtel Money: #0695152598 CRDB Bank: #0133000PY6X00 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana. 🙏🏽
2
7
35
579
Modesta Z retweeted
#JustFit tunatengeneza Sports Kits like running kits. Tuna uzoefu wa mda mrefu kwenye kazi hizi. Tunatengeneza T shirts, kofia, medals, trophies na hata jezi za wachezaji kwenye michezo mbalimbali. Mfano wa kazi zetu ni hizi running t shirts za NMB na CRDB Marathons
7
9
168
Modesta Z retweeted
Bado zipo #JustFit. Karibu
1
6
11
674
Modesta Z retweeted
Kampuni inayohitaji kuwa official partner wa #JustFitInterSchoolsGames inakaribishwa,milango ipo wazi......
1
5
12
494
Modesta Z retweeted
AI haitamfanya kila mtu kuwa tajiri. Lakini itawapa watu wenye maarifa, ubunifu na uwezo wa kujifunza nafasi ya kufanya kazi ambazo zamani zilihitaji timu nzima, muda mwingi na rasilimali kubwa. Tofauti haitakuwa kwenye teknolojia pekee, bali jinsi unavyoitumia. #AITF2026
2
10
20
1,065
Modesta Z retweeted
Free Mnyawami Watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Katibu wa Kanda ya Serengeti, Mhe. Mnyawami, na kuondoka naye wakidai kuwa wanamhitaji katika Kituo cha Polisi Shinyanga. Kwa mujibu wa taarifa za awali, mmoja wa watu hao alijitambulisha kwa jina la Masudy. Mhe. Mnyawami amechukuliwa akiwa nje ya nyumba yake wakati akijiandaa kuingiza gari lake ndani. Hadi sasa, sababu za kuchukuliwa kwake hazijafahamika rasmi. Tunaendelea kufuatilia suala hili kwa karibu na tutatoa taarifa zaidi kadri tutakavyopata taarifa za uhakika.
7
113
501
10,656
Modesta Z retweeted
IFAKARA ni Kesho Jumanne Tarehe 16/6/2026.
12
147
840
9,089
Modesta Z retweeted
Salasala 📍
7
11
30
1,771
Modesta Z retweeted
1
11
16
295
Modesta Z retweeted
I have lost a friend, Pauline Njeri, to cancer a few hours ago at Coptic Hospital leaving 3 young kids behind... Hospital Bill at Ksh 2.5 million. The family is kindly asking for your help... Any small amount to TILL 8482988
88
1,367
2,485
54,556
Modesta Z retweeted
Neno ambalo limekua likiimba ndani yangu na naomba over it the whole week. Luka 17:11-19 11 Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya. 12 Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali, 13 wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu! 14 Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika. 15 Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; 16 akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria. 17 Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale kenda wa wapi? 18 Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu? 19 Akamwambia, Inuka, enenda zako, imani yako imekuokoa.
1
9
28
1,362
Modesta Z retweeted
Kama una ndugu anashida ya ganzi, n.k mnunulie hivi viatu vinasaidia sanaa Karibu nikuagizie ,nimuagizie kwa shilling 45k tu
7
29
42
3,269
Paulo 😂😂😂
Never date men with bible names 😭😭😭😭
2
167
Modesta Z retweeted
HUDUMA humu ni 10/10 Wafanye tu wawe na OFISI nzurii
1
1
17
1,815
Modesta Z retweeted
Ukianza kuongelea Imani kuna watu wanakuja na Arguments za Sayansi as if Sayansi ni ya kwao. Sayansi ni ya Mungu. Mmezaliwa na akili hamjui hizo akili aliwapa nani. It's all God's work. Mungu anaweza kutumia Sayansi kutenda kazi au kutumia miujiza kutenda kazi. As long as God is involved faith is involved..
8
10
44
1,999
Modesta Z retweeted
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwenye shahada ya uzamivu katika sayansi ya siasa, amewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM, na sasa MaCCM yamekabidhiwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwake. Fikiria, ni mshauri wa Rais eneo hilo. Daktari wa falsafa (Ph.D) hawezi kueleza mpango wa Serikali katika kuongeza thamani mazao ya uvuvi ili kuongeza kipato cha wavuvi. Battery Low. Hakika, CCM ni kansa. Catastrophe..
53
120
636
33,942
Modesta Z retweeted
Siku nyingine ya kukumbushana kuwa.. Ukiona mtoto Hana amani, au hayuko tu comfortable mbele ya mjomba/shagazi/jirani/mwalimu etc ni vizuri ukamuuliza ni Kwa sababu gani. Watoto wanakosa amani/furaha baada ya kunyanyaswa ama kuonewa. Some wanapitia even worse scenarios.
4
20
60
2,314
Vijana KKKT Ubungo Kibangu👐 #TwenzetuKwaYesu2026
84
Ila vijana wa Sinza mmeshindikana👐 #TwenzetuKwaYesu2026
51