Video hii inathibitisha kwamba madai ya polisi kuhusu mauaji ya raia kwamba yanafanyika wakiwa wamevamia mgodi ni uongo.
Huyu amepigwa risasi eneo la Shule.
Serikali ya ccm inahusika na mauaji ya watu wetu , ndani ya wiki mbili huyu atakua kijana wa tatu.
Bado hatujapata idadi ya waliojeruhiwa vibaya katika tukio hili.
Mh rais
@SuluhuSamia mambo haya yanaruhusiwa vipi kutokea chini ya utawala wako?