Dada punguza maringo na standards za kipuuzi , sikuhizi wanaume wa kweli ni adimu kuwapata na hata ukimbahatisha utapata hana hela au yupo yupo tu mchafu mchafu π .
Dini sio tatizo na hata waislam wanajua ukrist ni dini ya kwel na ililetwa na nabii issa (yesu) lkn wanachopinga ni mabadiliko ya mafundish na kufichwa kwa bible halisi iliyokuwa ni ya yesu