Joined August 2012
1,189 Photos and videos
Pinned Tweet
PLATA O PLOMO ALBUM is officially out and available at Tsh 25,000. Payment numbers on my profile!
5
35
105
7,987
Oi oi #WACHAMBUZI #SAWA ya @gnakowarawara X @lordeyesmweusi @nikkimbishi999 X @niitesonga na @pmawenge imetoka rasmi. Haya twende YOUTUBE walau mkapate cha kuchambua. youtu.be/NG-EtH9olpU?si=z89X…
4
30
110
3,520
Kisu Cha Buchani #KCB retweeted
Replying to @NikkiZohan
Yote yaliyotokea baada ya uchaguzi huu ni MAJIBU kwa tahadhari na maswali aliyouliza @NikkiZohan miaka 8 iliyopita kwenye ngoma hii.
1
10
1,009
Kama unataka VERSES MPYA check humo....#UNJU
9
22
148
5,207
Kwamba UNJU achane ma verse mapya ili a-prove nini yaani au amuoneshee nani kwamba yeye ni mkali? Hiyo fanyeni nyie mlionza RAP juzi aisee...TUHESHIMIANE maana vi EP vyenu vinne havifikii mixtape yangu moja sio ALBUM.
7
12
105
3,620
Vitoto vingine sijui vina matatizo gani kwenye hii RAP GAME.....!
2
2
46
1,647
Busta Rhymes amechana nyimbo zake zile zile za zamani au ile verse ya "Look at me now" kwenye interviews ngapi?Shindaneni wenyewe pia jitahidini basi hata muwe na verse moja moja za maana zinazojulikana,maana mimi naanza kurap wengine mlikuwa MASHABIKI tu
2
7
91
2,742
Nina miradi binafsi 13 mpaka sasa na wa 14(Kisu Cha Buchani)unakuja achana na ile ya TAMADUNI na Kikosi Kazi na Sisi The Trio. 10 ALBUMS 2 MIXTAPES 1 EP Wewe unayetaka verses mpya kwenye kila interview kasikilize hizo kazi utakutana na verses kibao ambazo hujawahi kuzisikia.
4
24
145
4,327
Kisu Cha Buchani #KCB retweeted
I’d really love to see @NikkiZohan take the podcast route. He has the authentic street wisdom & articulate delivery, in the podcast form that would cut through like crazy. Imagine hearing his raw thoughts weekly?? I mean that would spark convo after convo after convo …
4
8
16
1,579
Kisu Cha Buchani #KCB retweeted
21 Sep 2025
Said this couple times, imagine him being on radio just imagine
1
1
3
687
Kisu Cha Buchani #KCB retweeted
Replying to @NikkiZohan
@NikkiZohan king of freestyle 🤯🤯 My 🐐🐐 of all time
Eminem dissed your Country, who's responding?
1
6
605
Tarehe 23/08/2025 TUKUSA FESTIVAL itakuwa ZANZIBAR PAJE BEACH: VENUE:BENTO Hakuna Kiingilio pia utapata Machata Ya Unju kuanzia Hoodies/Pullovers na Tshirts bila kusahau ALBUMS/MIXTAPES na EP.
1
18
68
1,948
BIN UNUQ
2
7
68
1,834
TAMADUNI MUZIK
11
34
321
4,877
KISU CHA BUCHANI.
9
18
290
4,480
Shukran kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ushirikiano na upendo mlionionesha hususan kipindi hiki kigumu kwangu cha kuondokewa na baba yangu mzazi Mzee John Marwa Machuche. May the mother nature grant you with abundant blessings. #ASANTENI_SANA #HIPHOP
18
25
166
3,994
WACHIMBA CHUMVI EP [NIKKI MBISHI NA MIRACLE NOMA ]IMETOKA RASMI. INAPATIKANA KWA TSH 15,000 TU. YAS: 255654600065 VODA: 255747828275 AIRTEL: 255685481111 NICAS J.M.MACHUCHE
1
26
103
3,059
WACHIMBA CHUMVI EP [NIKKI MBISHI NA MIRACLE NOMA ]IMETOKA RASMI. INAPATIKANA KWA TSH 15,000 TU. YAS: 255654600065 VODA: 255747828275 AIRTEL: 255685481111 NICAS J.M.MACHUCHE
25
98
2,565
Kisu Cha Buchani #KCB retweeted
2 Jul 2025
Top 3 ya ngoma uzipendazo kutoka kwake❓ 1. 2. 3. ....
18
5
34
1,410
Kisu Cha Buchani #KCB retweeted
#TukusaClan Wana Tunduma Na Mbeya pia mmechaguliwa kuwa wa Kwanza kuishuhudia Hii michano live tena kwa bei sawa na bure buku tano tu 🙌🙌🙌🔥🔥🔥 #BadoHipHop Cc @NiiteSonga @NikkiZohan @BabuBomba4 @LucasOdero8 @JabirSaleh @Phbhimself
5
15
43
1,734