Tanzania Queen of Sports, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teams

Joined July 2019
7,144 Photos and videos
Timu nane zinatarajia kushiriki mashindano ya Mapinduzi CUp 2026 ikiwemo klabu za Simba SC na Yanga Timi hizo ni Simba Yanga Azam Mlandege URA - Uganda Fufuni FC Singida Black Stars Kvz FC Mashindano yataanza 29 Disemba 2025, mpaka 13 January 2026.
4
81
5,762
Bodi ya wakurugenzi ya Simba SC mchana wa leo imefanya kikao kujadili mambo mbali mbali ya klabu , taarifa zinaeleza bodi itafanya maamuzi magumu hasa kuelekea dirisha dogo la usajili linaloanza Dec 15 , usajili wa kocha mkuu mpya, na mwenendo mzima wa timu yao.
12
3
232
18,741
“Kikubwa tuwaombee (Taifa Stars), M/ Mungu awasaidie wawe na nguvu ya ushindani. Nafikiri kwasababu bwana Gamondi anauwezo mkubwa kuliko (kocha) Morocco, Juma (Mgunda), kuliko Mimi, naamini kabisa sasa hivi tunaweza kufika Nusu Fainali (ya AFCON), Jamhuri Kihwelu 'Julio' 😅
42
10
407
20,014
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali kamwe, amesema timu yao ipo kwenye kundi ngumu sana licha kukusanya alama nne (4) kwenye mechi mbili za mwazo kwenye kundi (B) kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Barani Afrika hatua ya Makundi.
3
4
98
4,045
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Pedro Goncalves amefunguka kuelekea mchezo wao dhidi ya Fountain Gate na amefichua kuwa lengo lao ni kushinda kila mechi na wanaendelea na maandalizi kuhakikisha wanapata ushindi Full video inapatikana YouTube channel ya KishambaMedia gusa
2
128
2,438
Meneja habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka kuhusu klabu hiyo amesema kupoteza mechi kuna mambo mengi nje na ndani ya uwanja lakini pia amegusia wachezaji kukosa nafasi akisisitiza wao kama klabu hawaamini kama kuna mchezaji anatumika isipokuwa huwa inatokea.
4
1
129
3,802
Kocha wa klabu ya Simba Seleman Matola amefunguka kuelekea mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City na amesema kuwa ligi kwasasa imekuwa ngumu kila timu inapambana hivyo watajiandaa vizuri kuhakikisha wanapata ushindi Fullvideo inapatikana YouTube channel ya KishambaMedia
1
91
1,743
Kikosi cha awali cha wachezaji 53 cha Taifa Stars' kimetangazwa leo kujiandaa na AFCON 2025. Tanzania 'Taifa Stars' itaweka Kambi Egypt kuanzia Disemba 8, kabla ya kuelekea Morocco kwenye AFCON inayoanza Dsemba 21. HELLOW MOROCCO WE ARE READY FOR YOU.. 🙌
29
2,445
Simba YAACHANA NA PANTEV. Klabu ya Simba SC IMEMFUTA KAZI Kocha wake (Meneja Mkuu) DIMITAR PANTEVmara moja. Tangu asubuhi leo kumekuwa na kikao KIGUMU cha Bodi ya Wakurugenzi na maamuzi yamefikiwa PANTEV aondoke. Hatua iliyopo sasa ni mahesabu ya malipo yake tu.
7
3
149
5,204
Timu ya wananchi Yanga SC. itawakaribisha Fountain Gate FC Alhamis hii katika uwanja wa KMC Complex saa kumi jioni. Yanga itacheza michezo miwili tarehe 4 na tarehe 7, baada ya hapo ligi itasimama na timu ya Taifa itasafiri tarehe 8 kujiandaa na AFCON inayoanza Dec 21
2
10
357
7,348
Mchezo wa Ligi Kuu Coastal Union v Yanga SC utachezwa katika uwanja wa CCM Jamhuri Dodoma, Jumapili ya Disemba 07, Wenyeji Coastal union wameipeleka mechi yao na Yanga CCM Jamhuri Dodoma. Kwasababu Uwanja Mkwakwani umefungiwa na shirikisho la soka nchini TFF.
4
307
5,791
Timu ya Taifa ‘Taifa Stars' itaondoka nchini Disemba 8 kuelekea nchini Egypt kwa ajili ya Kambi ya kujiandaa na AFCON 2025 nchini Morocco, AFCON 2025 itaanza Disemba 21, 2025. Taifa Stars itaweka Kambi Egypt kabla ya mashindano. Ligi itasimama kwa kipindi chote cha AFCON.
8
2
304
6,748
Kikosi cha Simba Sc kimewasili Daresalaam alfajiri ya leo kikitokea nchini Mali kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien. Simba inaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na michezo miwili ya ligi kuu dhidi ya Mbeya City Dec 4 dhidi ya Azam FC Dec 7
2
3
95
2,062
FT Stade Malien 2-1 Simba SC Baada ya michezo miwili Simba SC anabaki nafasi ya nne kwenye kundi lake akiwa hana alama hata moja.
30
6
317
9,758
#EPL Chalobaaah ⚽️ Chelsea 1-0 Arsenal Dakika 55
1
130
3,308
Aliesogeza dabi Mbele alikua mbele ya mudaa 👏🏻
13
4
455
13,535
Ligi ya mabingwa barani Afrika Dakika ya 43 Stade Malien 2-0 Simba SC.
2
2
155
4,413
Huyu ndie Mwenyekiti mpya wa Bodi ya ligi na Mrithi wa Steven Mguto Rais wa Azam FC Nassoro Idrisa kura (7) CPA Hosea Lugano M/Kiti wa NamungoFC kura (6) Uchaguzi wa bodi ya ligi umefanyika leo jijini Daresalaam.
1
1
205
5,439
ni kama mahesabu ya Yanga hayana ‘Kipengele’ kila namba unazokokotoa zinakubali. Yanga amecheza mechi ya nyumbani vs Far Rabat alipata points 03 Leo amecheza ugenini amepata point 1 muhimu. Mashindano yanahitaji ujue kushinda mechi za nyumbani na kuokota point yoyote ugenini.
3
12
399
6,925
Hongera Yaanga SC Point 1 ya maana kabisa ugenini Mdogo mdogo wananchi wannaondoka Full time JS Kayblie 0-0 Yanga SC
2
7
264
4,234