Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

Joined April 2021
4,729 Photos and videos
That, πŸ‘‡ is the PRINCIPLE OF A SUCCESSFUL LIFE.
3
24
953
Ndugu FRANK RUHASHA ni kijana MWEREVU, MAKINI na MAHIRI ambaye Wilaya ya BUHIGWE inajivunia sana. Ni matumaini yangu kuwa ataendelea kuwa SAUTI na TUMAINI la wote wanaodhulumiwa HAKI zao.
1
4
35
1,947
Ila CHANDE !πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
13
10
104
4,059
AJIRA: Hiyo πŸ‘‡ ndiyo inaitwa; β€œBORA MKONO UENDE KINYWANI”. πŸ˜‚πŸ˜‚
1
3
56
4,336
Katika watu MAJASIRI DUNIANI, basi huyo πŸ‘‡ ni NAMBA MOJAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
24
27
524
42,191
NIMEKUBALI: Baada ya KUOMBWA SANA nitoe Msaada wa KISHERIA na FEDHA kwa WANAFUNZI 17 πŸ‘‡ ambao wanatuhumiwa β€œKUGHUSHI” MKOPO WA ELIMU YA JUU, napenda kuufahamisha umma kwamba; kama MNYAMWEZI, NIMEKUBALI kuubeba MZIGO huo ili WANAFUNZI hao WARUDI SHULENI KUPATA ELIMU.
52
73
641
28,182
Hongera sana Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa kupewa TUZO MAALUM πŸ‘‡ wakati wa Maadhimisho ya MIAKA 60 YA BENKI KUU YA TANZANIA. Mama, CHAPA KAZI, TUZO zinakufuata zenyewe kwa sababu UNASTAHILI.
16
7
98
6,520
Ila NYERERE πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
46
34
440
31,998
Ukisikia UTII na HESHIMA kwa BUNGE, ndiyo huo πŸ‘‡
3
5
114
10,130
Ushirikiano wetu na nchi za MASHARIKI (Eastern Block) ni wa KIHISTORIA na IMARA SANA. Sasa, ni zamu ya SLOVAKIA πŸ‘‡. Sisi ni NCHI HURU ambayo HATUCHAGULIWI nchi ya kushirikiana nayo. HATUFUNGAMANI na upande wowote. Hata POLAND pia, wanaweza KUWEKEZA Tanzania.
3
3
51
3,284
Mheshimiwa Rais DAKTARI SAMIA SULUHU HASSAN akijadiliana jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) CAMILIUS WAMBURA katika moja ya SHEREHE za Jeshi la Polisi, Kurasini, Dar es Salaam.
7
1
85
6,104
Falsafa hiyo πŸ‘‡ itakuwa na MAANA na UMUHIMU kwa watanzania, ikiwa tu watu wote WALIOBAMBIKIWA KESI, WATAACHIWA HURU bila msharti yoyote. β€œKAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE”.
3
7
49
4,414
πŸ‘‡
THINGS TO KEEP AS SECRET: 1.
1
2
9
1,007
Ndugu Stephen Wasira ndiye MZEE PEKEE ambaye anaweza KUSEMA UKWELI BILA KUONA AIBU hapa Tanzania πŸ‘‡
32
17
211
12,545
Safarini Arusha πŸ‘‡
10
4
91
7,248
Huo πŸ‘‡ ni UTHIBITISHO kwamba; MBOWE, SIYO GAIDI. Hakuna GAIDI hapa DUNIANI anaruhusiwa KUSIMAMA NYUMA YA RAIS. Ieleweke hivyo tafadhali.
15
31
392
18,188
Unapokuwa JAJI MKUU (Mstaafu) inapobidi KUANDAMANA kwa maslahi ya HAKI za watu, fanya hivyo πŸ‘‡. Kuna nchi nyingine, unakuta JAJI MKUU (Mstaafu) ni CHAWA. Kwa kweli KENYA WAPO MBALI SANA.
18
67
551
12,130
MTIKISIKO WA KIDUNIA; Jana kuna rafiki yangu aliyepo UJERUMANI alinipigia simu na kuniambia yafuatayo; β€œMadeleka, hata UJERUMANI IMETIKISIKA kwa ZIARA ya Rais wenu aliyoifanya nchini URUSI. Tumesikia FURSA NYINGI ZILIZOPO TANZANIA.”
27
20
272
19,468
πŸ‘‡
How To Build A Money Mindset: - Thread - πŸ“Œ
1
2
567
To Marry a WRONG person is not a LIFE SENTENCE.
3
10
670