Chochote akili inachoweza kubuni /kutunga na kukiamini, inaweza kukifanikisha.
Mtazamo wako ndiyo zana yenye nguvu zaidi. Kama unaacha kujitilia shaka kukutawale, kutakuzuia usichukue hatua unazotakiwa kuchukua ili ufanikiwe. Jiamini na amini katika uwezo wako!