🚀 Championing Gender Equality | Highlighting Women’s Achievements 🌟 | Advocate for Social Justice 📢 | Inspiring Change, Motivational, One Story at a Time
Ule Uchaguzi wa Rais wa Tanzania, Oktoba, 2015 Uliokuwa na Ushindani na Ambao hautasahaulika na matokeo yake yalikuja kwa kushangaza.
1. Dk. John Pombe Joseph Magufuli (CCM) - 8,882,935 (58.46%)
2. Edward Ngoyai Lowassa (CHADEMA) - 6,072,848 (39.97%)
3. Anna Elisha Mghwira
Mungu Mkubwa, Hatuna Kitu Lakini Tumeamka Salaama Hivyo Uhai Kwetu Ni Jambo La Msingi Sana Kuliko Kitu Kingine
Kwa Sababu Kuna Watu Wana kila Kitu Lakini Wapo Mahali Wanapigania Uhai Wao.
Good morning ladies and gentlemen 👊🏾
Imagine, MUNGU anampa Kibali Yesu kristo Kibali cha kumtangazia mwanamke malaya msamaha wa dhambi richa ya umalaya wote alioufanya.
Hakika kwa Mungu hakuna dhambi isiyokuwa na msamaha 😌🙌
Good morning everyone 😊🖐
#Ad
Nina mkeka wangu huu najua hii weekend kuna jambo utanipa🙂
Switzerland✅
Morocco✅
Scotland vs Hait over 1.5
Netherland ✅
Nani mchawi hapo.?
bonyeza link vunjabeibet.co.tz/tz/signup Vunja bei katupendelea odds nono balaa
#TunaondokaNaVunjaBeiBet
Mwili wa Binadamu wa Ajabu Sana unaweza Kuumwa Jicho ukasema Bora kuumwa sikio, ila ikifika Zamu ya Sikio Utakubali kuwa Haina Unafuu wowote,... Yaani hamna sehemu utagusa iwe na unafuu
Ukishakuwa Mwanaume Kwakweli Ni ngumu siku kwenda kama Huna Mchongo wowote unaosikikizia, Yaani ni Nafuu Uweke Tsh 500 kusubiri Million Kuliko Kukaa bila mchongo wa kuskilizia😂
Mvulana unao uwezo wa kumshauri na kumsaidia msichana asipate mimba katika umri mdogo, hivyo basi, chukua hatua ya kusambaza taarifa za uwepo wa huduma rafiki za afya ya uzazi na kuzuia mimba zilizopo kwenye eneo lako.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Madam Ritta ndo alikuwa mtu wa kwanza kumuamini @JabirSaleh kuwa anajua kutangaza badae akaanza kumpa session kwenye BSS.
Baadae Jabir akaja kuwa mtangazaji mkubwa kwenye media
Mtaa 107- Ufm
Mungu Baba Umenijaribu Na Majaribu Mengi Sana Na Nimeshinda Sasa Naomba Unijaribu Na Toyota Crown Naahidi Nitayashinda Majaribu Ya Kubeba Wanawake Hovyo Isipokuwa Mwanamke Wangu Tu…!!😂😂😂
Ukiwa masikini lengo la mkopo ni kutatua matatizo yako na sio kufanya biashara izalishe ulipe mkopo ndo maana lazima ufeli kurudisha
Au utakopa sehemu nyingine kulipa mkopo so maisha yako yatakuwa ni mkopo mkopo tu.
Did you know?
Only one day remains until, ISEF Africa is coming to Dar es Salaam.
Are you looking for an international school in Africa or overseas? Join us this Saturday, 23rd May 2026, at Serena Hotel, Dar es Salaam, and meet leading schools, colleges, universities, and education partners in one place.
Entry is free. Register here to attend:
docs.google.com/forms/d/e/1F…