The first time i ever saw this stuff was in a uni girls night. Pombe iliisha at 2 am nikaona our host akiisunda kwa dera tukienda kuongeza ingine and i was like kumbe wasichana hukua na weapons huku. In the morning nikaiona tena ikitoa sufuria kwa jiko and my flabbers were gasted
Kitambo nkiwa mwendawazimi nlkuwa nadhani hii kazi yake ni kushikilia sufuria pekee πππ€πΎ