Ndugu yangu, mpaka sasa Kombe la Dunia la 2026 lina wastani wa watazamaji 64,000 kwa kila mechi.
Hii ni zaidi ya wastani wa watazamaji:
- 52,000 uliorekodiwa Qatar 2022, -.47,000 Russia 2018,
- 49,000 Afrika Kusini 2010,
- 52,000 Ujerumani 2006 na
- 42,000 Ufaransa 1998.
Kwa sasa, rekodi pekee inayolizidi ni Kombe la Dunia la Marekani 1994, ambalo lilikuwa na wastani wa watazamaji 68,000 kwa kila mechi."