Watanzania tuwe makin na huyu mtu ni mtaalam wa kuleta vurugu Africa amevuruga amani ya Libya ,Iraq,Syria na Sasa anataka kuleta vurugu Tanzania kipitia uchaguz mwaka huu ,na wanatumia mitandao ya kijamii kuwadanganya vijana wa kitanzania kukataa matokeo ilikuleta vurugu