#Neno...MUNGU HALINGANISHWI! Isaya 40:13-18...Basi utamlinganisha Mungu na nani? Utamlinganisha na kitu gani? Halleluyaa! Mungu ni Mungu, huwezi soma akili yake, huwezi kumshauri ama kumfunza chochote, hana mfano, endelea kukaa kwake! Tukutane Galilaya!
#NuruNaEvahMwalili