Joined March 2026
17 Photos and videos
Pinned Tweet
Katika ulimwengu wa sasa, wazo bora pekee halitoshi. Unahitaji mfumo imara, uhalali wa kisheria, na takwimu sahihi ili kupenya sokoni. Tunatambulisha rasmi RegSmart Agency: Daraja lako kati ya maono na urasimishaji wa kitaalamu. 💼🚀 #RegSmartAgency #Formalization #Tanzania
3
4
5
968
RegSmart Agency retweeted
This match was wild 😳,total chaos, Take a look.
3
4
5,694
RegSmart Agency retweeted
Wabunge naona bado wanamkubali sana Kasim Majaliwa, makofi ni mengi sana.
3
3
39
RegSmart Agency retweeted
😂😂😂😂😭💔
Please God, let this happen because it would be so f*cking funny.
3
3
70
RegSmart Agency retweeted
💨FULL BOXED PIXEL SERIES | ▪️Pixel 4A (4 128) - 400,000 ▪️PIXEL 4 (4 128) - 450.000 ▪️Pixel 5 (8 128) - 480,000 ▪️Pixel 6A (6 128) - 500,000 ▪️Pixel 6 (8 128) - 550,000 ▪️Pixel 6 Pro (12 128) - 690,000 ▪️Pixel 6 Pro (12 256) - 770,000 ▪️Pixel 7A (8 128) - 580,000 ▪️Pixel 7 (8 128) - 770,000 ▪️Pixel 7 (8 256) - 830,000 ▪️Pixel 7 Pro (12 128) - 900,000 ▪️Pixel 7 Pro (12 256) - 1,000,000 ▪️Pixel 8A (8 128) - 780,000 ▪️Pixel 8 (8 128) - 830,000 ▪️Pixel 8 (8 256) - 980,000 ▪️Pixel 8 Pro (12 128) - 1,150,000 ▪️Pixel 8 Pro (12 256) - 1,250,000 ▪️Pixel 8 Pro (12 512) - 1,450,000 ▪️Pixel 9 (16 128) - 1,450,000 ▪️Pixel 9 (12 256) - 1,550,000 ▪️Pixel 9A (8 128) - 1.240.000 ▪️PIXEL 9PRO (12 128) - 1,500,000 ▪️PIXEL 9PROXL (12 128) - 1,550,000 ▪️PIXEL 9PROXL (12 256) - 1,750,000 📍DAR: Tunatazamana na Geti la KKKT Kariakoo utapanda ngazi za njano Floor ya 1 utaingia ndani na kukunja kulia duka limeandikwa NJIWA STORE 📍MWANZA: Roundabout ya Samaki bango limeandikwa NJIWA STORE
4
20
53
6,083
RegSmart Agency retweeted
Replying to @WelBeast
Here we go again 😂😂😂😭
2
4
32
RegSmart Agency retweeted
Kesho nitakula niende kwenye manzuki yangu nitaleta feedback
Kuna sehem nimekutana na hii, hivi kuna ukweli wowote hapa? Kwa anayejua tafadhari sana atupatie majibu. @beesnaturalfarm
2
3
3
43
RegSmart Agency retweeted
Haya ndio maisha tuliyochagua. Ni mwendo wa kushinda na nyuki porini tu, Oyaa ee Msimu wa kuvuna ukifika nitagawa asali lita moja moja kwa yeyote anayehitaji. Asali Og kutoka Makete,
2
3
146
RegSmart Agency retweeted
Tuna changamoto kwenye sekta ya nyuki, kwa sababu Miongozo mingi ipo kwa Kiingereza lakini pia imeandikwa kwa ajili ya maafisa ugani na wakufunzi, si mfugaji wa kawaida kabisa.
3
5
2,588
RegSmart Agency retweeted
Umasikini ni kitu kibaya sana, tupambane kuondoa hali hii kwenye familia zetu.
3
4
60
RegSmart Agency retweeted
Unapokuwa na msongo wa mawazo, unafanya nini, ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida???
2
3
5
1,228
RegSmart Agency retweeted
This World Cup, I'll be hate-watching England and the USA😄 England, because every tournament they trick me into believing, then remind me why I started hate-watching in the first place USA, because how do you host football and interview a ref for 11 hours, only to deny him😭
3
3
4,202
RegSmart Agency retweeted
Kuna documentary naicheki hapa, oya inatisha kinoma, inaitwa "Inside the Dark World of Assassins" oya kuna mambo magumu sana baadhi ya nchi hasa kwa madiba pale, Nenda zako pale Youtube Chanel ya National Geographic ukacheki.
3
3
71
RegSmart Agency retweeted
Sifa moja kubwa ya watu waoga, wanaweza sana kutumia vitisho, kuchumba mkwala na mazagazaga kama hayo. We angalia hapo mtaani kwako utaona
3
3
26
RegSmart Agency retweeted
Kwa nje ya uwanja hadi sasa kombe la dunia la mwaka huu, hasa kwa marekani, ndio worst world cup ever, tusubiri ndani ya pitch tuone.
4
5
1,715
RegSmart Agency retweeted
We danced in their backyard, 😂😂😂😂😭
The best match from the 2025/26 season, as voted by YOU 🫵 🔴@Arsenal 2-3 @ManUtd ⚫️ preml.ge/tdxmtrwr
2
4
1,267
RegSmart Agency retweeted
Trust me mawazo mengi makubwa yanafia kwenye ofisi za usajili, na kusema la ukweli tuna wasajili wengi sana
3
3
29
RegSmart Agency retweeted
Wanetu mliopo kwenye vipaza kwenye radio na media zingine angalieni sana mnaongea nini, jengeni utaratibu wa kujisikiliza.
3
3
25
RegSmart Agency retweeted
Wakat nakusanya data za kuandikia kitabu cha ufugaji wa nyuki, nilikutana na mzee nzega pale akasema "Fanya kitu unachokipenda kwa nguvu na akil zako zote, wekeza mda na pesa zako hapo, kisha uwe na consistency, usipo fanikiwa rudi hapa nikupe dumu 20 za asali bure kabisa"
2
3
801
RegSmart Agency retweeted
Kila kiumbe hapa duniani kinaishi kwa kusudi, pale kusudi linapokwisha au kutimia na uhai au maisha yake yanaisha.
3
5
3,215
RegSmart Agency retweeted
Baada ya masika kuisha ni wakati wa kufanya cross check ya manzuki mara kwa mara, Tunaendelea kupambania sekta ya nyuki, Huku makete kipindi cha mvua ndio kipindi hatari zaidi.
3
3
225