Hamis A. Mponzi toka mbwinde ameona anguko la Chelsea, kweli tuna hali mbaya sana. 😭😭
Soko la LB nalo Lina matapeli wengi kama kina Kerkerez, Lewis Hall pale Newcastle walau Kuna beki mzuri,na Newcastle wata demand pesa kubwa ,
Cuculera ni pengo kwa Chelsea ,beki ambaye anaweza kumdhibiti winga Bora yeyote duniani sio wakumbeza .
Naliona anguko la Chelsea