Kwa habari na video zenye ubora kwenye simu yako tembelea simutv.vodacom.co.tz, tovuti pekee inayoongoza Tanzania. Furahia muda wowote, mahali popote!
Shirikisho la soka Tanzania bara TFF limemtangaza Ammy Kinje kuwa kocha mkuu wa timu ya Kilimanjaro Stars atakayeiongoza katika michuano ya CECAFA.
Swali la mbunge Sitta akiuliza serikali kuhusu kuongeza watumishi wa huduma za afya katika jimbo la Urambo katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini