Joined August 2011
13 Photos and videos
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
WASIRA ATETA NA JAJI WARIOBA, MZEE BUTIKU MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa serikali. Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
70
28
165
68,894
Napenda kutoa pole kwa familia na watanzania wote kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu wa Rais wa kwanza Mstaafu, Mzee Cleopa David Msuya, kilichotokea katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
5
754
Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi wafanye uchunguzi wa kina, kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria.
111
30
238
39,894
Ziara ya Mbeya imedhihirisha utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa hali ya juu. Tutaendelea kuwa nanyi bega kwa bega, kusikiliza na kufanyia kazi changamoto zenu. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele #kazinaUtuTunasongaMbele #kaziNaUtu #TunasongaMbele
1
5
13
2,059
Asante Songwe! Wiki hii, Waziri wa Fedha @mwigulunchemba1 na Waziri wa Maji @maji_mowi chini ya Uongozi wa Dkt @SuluhuSamia watakuja Tunduma kusaini mkataba na mkandarasi kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji. Hatua muhimu katika kuboresha huduma za maji! #KazinaUtu #TunasongaMbele
2
2
13
2,152
Katika kutekeleza Ilani ya @ccm_tanzania tunawekeza katika ujenzi wa Shule. Tunajenga Taifa la leo na kesho. #TujengeNchi #kazinaututunasongambele #KazinaUtu #TusongeMbele
1
5
11
1,081
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Steven Wasira, Awasili Mbozi kwa Ziara ya Siku Tatu Mkoani Songwe. Mbozi, Machi 14, 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Steven Wasira, amepokelewa kwa shangwe na wanachama wa chama hicho alipowasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Mbozi leo. Wasira anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu katika mkoa wa Songwe, ambapo atakutana na viongozi wa chama na serikali, pamoja na wananchi, kujadili maendeleo ya mkoa huo. Ziara yake inalenga kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi na kuimarisha utekelezaji wa Ilani ya CCM. #KazinaUtu #TunasongaMbele
15
32
123
5,533
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu. CCM 2025 ✅, KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
47
48
146
6,068
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025.
3
40
102
3,256
Stephen M. Wasira BA, MPA , MA retweeted
#Jasusi anatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rostam Aziz kwa kukemea utekaji na kutoa rai kwamba Watanzania wakatae nchi kurudishwa zama za giza. Kwanini anastahili pongezi? Kwa sababu angeweza tu kujikalia kimya but he chose not to 👏👏👏
3
12
101
3,724
Mjadala kuhusu bandari unaendelea vizuri kwa Maoni yangu. Wengi tunakubaliana kuwa suala la kuwekeza teknolojia na management ili kuongeza ufanisi na mapato haliepukiki. Tafasiri ya masharti yaliyoko katika mkataba ndiyo hoja zinanzotugawa. Wanasheria toeni ushauri msitugawe.
5
8
1,064
Nimepokea kwa msituko na masikitiko makubwa kutokana na kifo cha ghafla cha Bernard Membe. Tumekuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya nne kwa miaka kumi. Tulipata ushirikiano Kutoka kwake akiwa Waziri wa mambo ya nje. Alikuwa mcheshi , mzalendo na mchapakazi. R I P Membe.
1
11
958
Katiba za nchi huandikwa kulingana na mahitaji ya wakati, bila kupuuza historia ya nchi huska.Marekani.ni muungano wa nchi 13 zilizokuwa zinatawaliwa na waingereza.Kenya na Nigeria zilianzisha majimbo ili kupambana na ukabila.Tanzania ukabila ni historia tusirudi huko.

6
7
17
1,807
Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na Chadema Haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas nchini Marekani. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri,ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse 20,Tuache kuigiza.
15
10
52
4,229
Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa rais Samia Suluhu Hassan. Namtakia kheri na furaha anapoadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu amjalie Afya njema , maisha marefu na amwongezee hekima katika kuliongoza taifa letu.
8
708
Mfumuko wa bei unaathiri uchumi wa dunia. Kwa mujibu wa IMF, uchumi wa dunia unatazamiwa kukua kwa 1.9% mwaka 2023 toka 3% mwaka 2022.Gharama za maisha siyo tu hapa kwetu bali hata Marekani na ulaya. Tofauti ya kipato inafanya maumivu yetu kuwa makubwa zaidi kuliko ya kwao,
1
4
581
Jana nilimsikiliza Tundu !issu akizungumzia tatizo la kupanda kwa bei za bidhaa hasa chakula, kwa kuwa ni tatizo la kweli nikatamani kusikia jawabu toka kwake. Nilishangaa kusikia eti ni tatizo la siasa na jawabu lake ni kupata katiba mpya. Kwa hiyo dunia nzima tufanyeje ?
2
5
495
Kama raia huru na mwanaafrika masharki nilikuwepo Nairobi katika uwanja wa Kasarani kwa hisani ya Raila Odinga. Namuunga mkono RAO kutokana na msimamo wake wa kutetea Umoja, Amani na upinzani wake dhidi ya Ufisadi. Wafisadi ni hatari ni sawa na mkulima anaekula mbegu.
1
2
12
Katiba na Sheria ya ardhi ya Tanzania inawaruhusu raia kwenda na kuishi mahali popote. Ni kwa sheria hiyo wamasai kama watanzania wengine wako chalinze,kilosa nk. Hivi hao wanaowaita wamasai .indigenous, watuambie ni kabila gain la Tanzania ambalo siyo indigenous?
1
2
8