Leo nilishiriki international day of Yoga , niliweza kumuona i think manager wa Tanroads amesema kuna barabara nyingine pia zipo kwenye plan ikiwemo barabara ya moshono , ndio maana naendelea kuwapongeza viongozi wetu kwa hilo 👏👏👏
Mheshimiwa Paul anastahili ku enjoy , maana barabara mbalimbali Arusha zinatengenezwa , kwenye jema tusiache kusema , tusiwe tu watu wa kuona changamoto kila siku, Hongera sana mheshimiwa paul 🙏👏👏