โ˜ž MUSLIM. It is Allah who gives and it is Allah who takes away, simba ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ& man united ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ & Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ โ˜ž ๏ฃฟ๐• Banter All Time.

Joined March 2020
9,591 Photos and videos
Pinned Tweet
8 Sep 2024
Replying to @fbuyobe
Kama Dunia ingekuwa ni yenye kudumu na wakazi wake, Basi angekuwa hai Mtume (s.a.w) wa Mwenyezi Mungu, Na mwenye kubakia (milele). Lakini hii (Dunia) itafikia mwisho, pamoja na starehe zake. Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
6
12
144
16,559
Wanangu wote ambao wana support harakati zangu humu ndani.!!
4
27
236
2,159
SimbaScot retweeted
Risasi za Mnyama zitaendeleza furaha kesho ๐Ÿ’ช #NguvuMoja
1
13
521
4,676
What fresh conjectures have my spectators fabricated lately?
17
SimbaScot retweeted
Milan ina vilabu viwili vikubwa vya soka, AC Milan na Inter Milan. Zote zinashiriki katika kiwango cha juu kabisa cha soka nchini Italia, zinatumia uwanja mmoja wa San Siro, ni watani wa muda mrefu wenye ushindani mkubwa, lakini bado zimeendelea kuwa miongoni mwa vilabu vinavyoheshimika zaidi duniani. Baadhi ya mafunzo kutoka kwa vilabu hivi viwili vikubwa: โ€ข Watani wakubwa huifanya kila upande kuwa bora zaidi. Ushindani huinua viwango na kuchochea ubora. โ€ข Wachezaji, makocha na viongozi hubadilika, lakini taasisi imara hubaki. Klabu lazima iwe kubwa kuliko mtu yeyote. โ€ข Jenga msingi imara nyumbani, lakini uwe na ndoto na malengo ya dunia nzima. Klabu kubwa hazijiwekei mipaka ya mji au nchi yao pekee. โ€ข Ubora wa kweli hujengwa kwa vizazi. Unahitaji maono, uvumilivu, uthabiti na uwezo wa kuendeleza msingi uliowekwa na waliotangulia. Pengine funzo kubwa zaidi ni hili: ushindani unatakiwa kutufanya tuwe bora zaidi hapa nyumbani, lakini maono makubwa yanapaswa kutuunganisha kwenye jukwaa la kimataifa. Kadri vilabu vyetu vinavyoinua viwango, ndivyo tunavyopata fursa kubwa zaidi ya kuonyesha nguvu ya ligi yetu na uwezo wa taifa letu katika viwango vya kimataifa. #NguvuMoja #football #championship #acmilan #intermilรกn
51
67
1,030
39,713
Bima ya mateso ipo
Unahitaji Bima ya Afya? Unahitaji ushauri wa kuchagua package inayokufaa? Unataka kufahamu package mbalimbali zilizopo? Karibu DM nikusaidie kupata Bima ya Afya inayolingana na mahitaji na bajeti yako.
1
2
54
Wacha na Mimi nishirik.
๐Ÿ’จLeo ushtue umaskini kwa hii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡ Pandisha picha yako Gemini alafu copy prompt kuna sehemu ya kuedit jina na kazi yako. โ€œUltra-realistic 8K full body portrait of [PERSON], wearing a clean and pressed white social shirt with folded collar and a small lapel microphone, dark navy-blue dress pants and polished brown social shoes. Casually and unpretentiously leaning against a smooth light gray studio wall; hands are in pockets and one leg is crossed over the other, with relaxed and confident body language. Add to the wall next to them a prominent vector portrait in black and white of their face and bust - with sharp lines and angles, overlapping polygonal shapes and a minimalist modern graphic style, right below the information: โ€œFULL NAMEโ€, and below the name: โ€œPROFESSIONโ€. 3:4 dimension.โ€
1
15
SimbaScot retweeted
๐Ÿ—ฃ๏ธ"Simba SC Hatuna Scout,Usajili tunafanya Viongozi wenyewe tukishirikiana na benchi la ufundi" "Aliyekuwa kwenye nafasi hiyo alikimbia,Alichimba baada ya kuona pamekuwa pamoto" "If you can't sustain the heat,Just Get out of the kitchen" -Crencentius Magori
19
7
251
8,011
SimbaScot retweeted
GSM & ENG HERSI(Rais wa Yanga) ambaye pia ni muajiriwa wa GSM Wakikabidhiana mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga ambao Eng.Hersi(mwajiriwa wa GSM) atahakikisha Yanga haidhulumiwi na bosi wake GSM UTAPELI HAUTAKUJA KUISHA DUNIANI
3
2
10
181
SimbaScot retweeted
Mtu anayelipwa 200K akitoa 10K akakupa ametoa 5% ya mshahara wake kukupa wewe.Hiyo inamaanisha kuna siku kama 2 aliamka nyumbani kwake akaenda kazini kufanya kazi kwa ajili yako.Jifunze kuwa mwingi wa shukrani na uthamini jitihada wanazoweka watu kukufurahisha /kuridhisha nafsi
15
101
509
20,538
โ€œTumia mambo matano kabla ya mambo matano: ujana wako kabla ya uzee wako, afya yako kabla ya ugonjwa wako, utajiri wako kabla ya umaskini wako, muda wako wa faragha kabla ya shughuli zako, na uhai wako kabla ya kifo chako.โ€ mtume Muhammad ( S. A. W) Good morning
3
25
John bocco atakuwa kwenye Benchi la Ufundi Senior Team next season.
2
38
SimbaScot retweeted
Kuna Binadamu wameumbwa kusahau ila tupo ambao Mungu alituumba kuwakumbusha wanao sahau ๐Ÿซต Goli la Puskas lipo Msimbanzi na alifungwa DIARA ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
1
19
103
4,730
Pacome hajafikia uwezo hata wa Pape Sakho.
6
46
SimbaScot retweeted
Utanionea ft @harmonize_tz out now in all digital platforms
14
40
338
10,261
Safari Yenye Furaha inaanza pale unapoamua kuwachagua @twenderide. Bei affordable,Customer care nzurii pia usalama wa hali ya Juu pakua sasa App ya Twenderide tu rikwesti Pamoja!
2
23
28
1,391
Aliemleta konkon akiingia kumleta Buba na ikangalombo.
31
Wanangu, mna Bima ya Afya? ๐Ÿค” Kama bado huna au unatafuta Bima ya Afya yenye gharama nafuu na huduma bora, nitumie ujumbe wa DM wenye neno โ€œBIMAโ€ nikuelekeze chaguo linalokufaa. Afya ni mtaji, jilinde mapema!
4
28
50
3,450
Mungu atujaalie katika mapambano yetu ya maisha, ndoto zetu zitimie na juhudi zetu zizae matunda; tusiwe fungu la kukosa. Good Morning Champ.
13
26
138
2,156