simple. secure. Digital voting Solutions

Joined January 2026
12 Photos and videos
Sifa za Mfumo Wetu [features of our system] see all in comments 👇 #simuvote #LiveTrades #electionresultlive #election #Pigatech
3
2
3
17
Pia watu wachache sana wanatumia email ukiringanisha na wanaotumia namba za simu. Ukitoa mwanachuo, waajiliwa na wasomi.. wengine wote wanatumia namba za simu.Kwa mfano. Mama ntilie nyumbani, huwez kumlazimisha apige kura wakati Hana ata email. Tembelea simuvote.com.
2
7
Hii inapunguza wizi wa kura hasa mtu anapi tumia email. Mi binafsi na email 21. Nikipiga na uhakika wa kura za kwangu 21. Sasa tukiwa wa 5 tunapiga kura nyingi zaidi
2
8
*Features ya kwanza:* KUHAKIKISHA NAMBA YA SIMU [ PHONE NUMBER VERIFICATION] mfumo una tumia namba ya simu kupiga kura haina haja ya email. Sasa ili kuzuia fake wapiga kura. Tuna verify namba ya simu kwa kutuma code kwenye namba aliyoweka.
2
8
Uchaguzi wa Umma, unajumisha watu wengi zaidi katika jamii. Mfano Mashindano ya vipaji [awards], uchaguzi wa wanafunzi vyuoni mashuleni. Uchaguzi Binafsi, unajumuisha watu wachache kwenye jamii flani. Mfamo uchaguzi wa Familia na ukoo, uchaguzi wa wanafunzi darasani, Karibuni.
11
1
14
254
Overview of admin dashboard of public admin #simuvote #pigatech #votingday #election #electionresultlive
4
18
SIMUVOTE UPDATES 🔥
1
5
33
KUTENGENEZA CHUMBA ✅Nenda simuvote.com ✅Bofya "Create Room" ✅Jaza taarifa zako ✅Thibitisha namba kwa SMS. ANZA SASA!
1
3
35
SimuVote Tanzania retweeted
NEW UPDATES FROM SIMUVOTE SYSTEM visit simuvote.com
2
4
53
WE HAVE ADDED NEW FEATURES visit simuvote.com
1
3
25
Scheduled Maintenance Notice Dear Valued Users, SIMUVOTE TANZANIA would like to inform you that simuvote.com will undergo a short scheduled maintenance period. ⏳ Maintenance Duration: Approximately 2 hours 🕥 Time: From 10:30 PM to 12:30 PM (maximum)
3
19
Tembelea system hapa simuvote.com
2
3
37
SimuVote – Tovuti ya kura bure kwa ajili ya vikundi vyako! 📲 Chagua viongozi kwa urahisi, usalama na uwazi. Hakuna makosa ya kuhesabu kura tena! ✅ Awamu za kupendekeza na kupiga kura ✅ Matokeo wakati halisi ✅ Data inafutwa kiotomatiki baada ya siku 6 Bure kabisa! Anza leo
2
28
SimuVote Tanzania retweeted
Instagram is verified 😇
2
3
52
Free. Fair. Digital voting
2
9
SimuVote Tanzania retweeted
No any cost, it's just your phone number 😁
2
4
74