Lakini apo kwa Eve maina nakwambia siku mungu ataamua kunifungulia milango kitaeleweka. Akiingia tu hivi bedsitter mafriday jioni anapata nimeandaa mlo atari ata anashindwa aseme nini,Omena imechemka mpaka zimefunga macho sasa niyeye sinangoja. Kando ni ugali nimechanganya number one na namba two. Kando yake tena ni fanta Orange baridi kama kisu ya butchery. Akishiba namna hii alale kama thirty minutes,Omena iingie kwa sytem msuri
Saa nne niamshe yeye. Amka nanii,Ni masaa ya kazi. Majirani huko chini wanashangaa najenga nini saa tano usiku juu nyundo inalia kumbe najenga ndoa buana. Kinaeleweka sasa! Tumefanya mpaka hii inaitwa Parachute style. Hii napanda kwa ceiling kama brukenge najishikilia,nayeye ameeka mguu kama divider inapima supplementary angles. Kisa najiwachilia nakuja nimeingia mtoni bwana. Sunday asubuhi naamka kununua kitanda ingine nakwambia. Mungu wa Ayubu,niwewe tunategemea aisee. Najua Ipo siku utanibariki baba