was established by Act No. 8 of 1999 of the Zanzibar House of Representatives which was amended by Act No. 11 of 2009, and further re-amended by Act No. 7,2016

Joined November 2018
518 Photos and videos
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Mwinyi ametoa wito kufanyika upembuzi yakinifu     wa program  za mafunzo ya amali ili     kuandaa wahitimu  kwa soko la ajira na mahitaji ya viwanda.
1
173
Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinatoa taarifa ya Mkusanyiko wa Kitaaluma ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika Siku ya Jumapili tarehe 22/12/2024 Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi, Zanzibar.
1
214
The State University of Zanzibar (SUZA) has announced a vacany for Deputy Vice Chancellor Academic, Research and Consultancy.
142
The State University of Zanzibar (SUZA) has announced a vacany for Deputy Vice Chancellor Academic, Research and Consultancy.
2
238
The Center for Digital Learning (CDL) at the State University of Zanzibar (SUZA) presents a public lecture on Animation Art, Science and Power of Artificial Intelligence from key speaker Dr. Anaeli Kihunrwa who is a Animation Filmmaker & Educator.
1
1
2
329
DON'T MISS YOUR OPPORTUNITY: Apply now through suza.ac.tz, only 4 days have remained to close second round application. Use this link 👉👉👉 Application.suza.ac.tz
1
1
203
Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) kimeshiriki katika Uwasilishaji wa ripoti ya awali ya mpango kazi wa miaka 5 wa kuendeleza kituo cha Kukuza wajasiriamali (ZATOBI) kampasi ya Utalii, Maruhubi Zanzibar. Ripoti hiyo imewasilishwa na Mshauri Elekezi Bw. Ali Sultan Malik.
2
361
Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinakukaribisha katika Kongamano la kitaaluma la Miaka 60 ya Elimu bila ya Malipo litakalofanyika tarehe 21/09/2024 katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi, Zanzibar.
1
206
DON'T MISS YOUR OPPORTUNITY: Apply now through suza.ac.tz, only 5 days have remained to close second round application. Use this link 👉👉👉 Application.suza.ac.tz
103
Ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Hainan China leo tarehe (16/09/2024) umekutana na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji kwa mazungumzo ya kuendeleza uhusiano wa kitaaluma baina ya Vyuo vikuu hivi.
1
136
DON'T MISS YOUR OPPORTUNITY: Apply now through suza.ac.tz, only 6 days have remained to close second round application. Use this link 👉👉👉 Application.suza.ac.tz
80
Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinakukaribisha katika Kongamano la kitaaluma la Miaka 60 ya Elimu bila ya Malipo litakalofanyika tarehe 21/09/2024 katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi, Zanzibar.
103
Baraza la Chuo, Menejimenti na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wanakutakia Heri na Baraka ya Siku ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W) Watanzania wote.
97
DON'T MISS YOUR OPPORTUNITY: Apply now through suza.ac.tz, only 9 days have remained to close second round application.
68
Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinakukaribisha katika Kongamano la kitaaluma la Miaka 60 ya Elimu bila ya Malipo litakalofanyika tarehe 21/09/2024 katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi, Zanzibar
1
2
150
DON'T MISS YOUR OPPORTUNITY: Apply now through suza.ac.tz, only 9 days have remained to close second round application.
61
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGAZ) Ndugu. Said Seif Said amekipongeza Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kuwa vinara wa mageuzi ya Kidigitali nchini katika Utendaji kwa kutumia Mfumo wa ERMS kwa asilimia mia moja (100%).
73
Wanafunzi wa Skuli mbalimbali wametembelea banda la SUZA kupata taarifa mbalimbali za Chuo katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Kujua Kusoma na kuandika yanayoendelea Ukumbi wa Idris Abdul Wakil Kikwajuni Zanzibar. Maonesho hayo ya siku mbili yaliyoanza 7-8/09/2024.
1
115
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Lela Mohamed Mussa ametembelea Banda la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya kujua Kusoma na Kuandika yanayofanyika Ukumbi wa Idriss Abdul-Wakil, Kikwajuni Zanzibar.
1
146
Skuli ya Kiswahili na Lugha za Kigeni ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar - SUZA leo imewaaga jumla ya Wanafunzi wanne kutoka Ujerumani na Uengereza ambao walikuwepo Zanzibar wakijifunza Lugha ya Kiswahi
1
107