Joined January 2025
1,602 Photos and videos
Pinned Tweet
Hivi pale mteja na muuzaji wamemaliza mauziano ya bidhaa anayetakiwa kutoa shukrani ya ahsante ni mteja au muuzaji ?
79
64
458
41,825
Hivi kombe la dunia likishaanza makocha huwa hawafukuzwi ?
1
1
PàChâ#1738 💫 retweeted
Nani Aje Nimpe 🥰
3
13
15
151
PàChâ#1738 💫 retweeted
Ugumu wa maisha umefanya Dunia ya Leo “hata useme ukweli watu watakuona kuna kitu unaitaji…
4
10
14
101
PàChâ#1738 💫 retweeted
Wapendwa Taifa La Mungu. Tumsifu Yesu Kristu.🙏
2
5
9
78
PàChâ#1738 💫 retweeted
Humu Namo Hamnamo Mtu😂😂😂 Carlo Akaacha Wachezaji Wazuri Benchi Akaanza Na Kina Ngushi😂😂🙌🙌
14
15
48
1,199
PàChâ#1738 💫 retweeted
Habari za asubuhi ? Naomba Mniungishe ndugu zangu, niungisheni leo nipate kula😐🔥 🏆Nauza Simu, Full Box na used from Dubai ni original na zinakuja na warranty. 🏆Nauza Cover, Protector, Earphones, Earpods , PS , Tablet & iPads. 🏆Nafanya replacements za Vioo & Battery. 📍Nipo Mwanza Mjini 🚚Huduma ya Delivery ipo. 📞Nicheki DM 📞Nicheki 255747151944
4
11
11
79
PàChâ#1738 💫 retweeted
Siku ya kwanza unakutana na mwanamke umeomba namba umepewa na unatoa 5k ya vocha mnawezaje wenzetu🤔
15
24
40
675
PàChâ#1738 💫 retweeted
Mama Mussa...Dagaa wa leo kama nyama.😅
9
14
17
170
Huyu janja anavocheza ananikumbusha kipindi kile Guendouzi alivokuwa anakiwasha dimba la kati lakini akaja kuishia mitini ngoja tumuone na huyu kama atakuwa na consistency.
6
12
24
495
PàChâ#1738 💫 retweeted
Harmonize kaamua kutoa ya moyoni 🗣️. " Diamond platnumz hastahili hata salamu yangu Kwa sababu ni vile sitaki kukaa na vitu moyoni hata tukikutana mkiona namsalimia jua tu am very strong ila kiukweli hastahili hata salamu yangu" ----------------------- Kwani mondi alimfanya nini konde🤔
15
17
44
5,471
PàChâ#1738 💫 retweeted
Gm X familia kumekucha tena
15
10
24
823
PàChâ#1738 💫 retweeted
Ile acrobatiki alipiga paqueta jamaa linakuambia “Hakumuona chama” Nikaswitch kwenda kingereza muda ule ule😂💔🚮
12
8
42
1,504
PàChâ#1738 💫 retweeted
Hivi hawa wanawake wanao kaaga uchi kwenye uwanja, huwa wanalipwa kabisa au nikujitolea tu?
22
16
44
2,136
PàChâ#1738 💫 retweeted
Ni vyuo gani?🤔
2
6
18
898
PàChâ#1738 💫 retweeted
Mkali kadakwa alisababisha harry Kane akabaki na chupi 😂😂
5
9
16
404
PàChâ#1738 💫 retweeted
Na huu mpela mpela wa kombe la dunia . Hakuna kamoment katamu Kama ukiwa unasinzia kanisani alafu mchungaji aseme inamisheni vichwa vyenu chini tuombe.
6
20
33
351
Asanteni brazil kwa kunipotezea usingizi wangu .
9
13
22
270
PàChâ#1738 💫 retweeted
Good morning x family ✨️
12
17
26
340
PàChâ#1738 💫 retweeted
#TajiriLaKihaya Ni halali jamaa waseme sio wa AFRICA… 1st eleven nzima hakuna aliezaliwa Morocco aiseee🙌🏽🙌🏾🙌🏽
25
14
154
6,199
PàChâ#1738 💫 retweeted
Asubuhi na mapema nakukaribia kukushukuru, ee Bwana, kwa uzima wangu. Uliyenipa usiku kulala ni mzima, nakuomba sasa, Mungu unilinde mchana. Nilinde majaribuni kwani sina nguvu, hivi leo maovuni uwe ngao yangu!
8
19
34
314