Joined July 2014
5,538 Photos and videos
Pinned Tweet
Wanafunzi wa sekondar wanapata wapi ujasiri wa kujirekodi video za utupu? Hawafikirii maisha yao ya badae, hawajui kama wanawaumiza wazazi wao pia. Inaumiza sana kwakweli.
183
42
685
125,342
Mambo ya kiimani ni magumu kuelewa na kuamini kwa wasioamini.
3
Happy birthday Mbunge🎂
1 today. 🥳❤️ Happy BirthDay 🎊 to Me, Myself & I•🎈
1
4
184
Kuna haja ya kuzungumza na kuelimisha wanachuo athari za mapenzi namna ya kuhimili usaliti na kuachwa kuepuka kuumizana, kupeana ulemavu wa kudumu na kuuana kutokana na wivu wa mapenzi.
45
DevotaTweve retweeted
▪️Kama mfanyabiashara uliye na malengo unahitaji branding > Branding kwa kuanza inaanzia kwenye jina lako. ◼️Jina liambatane na unachofanya. Watu wakisikia tuu wanajua wewe ni nani. Mfano Kitasa suluhisho la nyumba Iringa.✅
2
2
8
341
Ila binadamu bhana, kwahiyo kila mwanamke akibeba mimba lazima pua iwe kubwa na atokwe na chunusi? 😅😅😅
11
4
75
6,568
Ushetani hauishi.
#HABARI Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemuhukumu Agen Mwakyusa (34) Mkazi wa Kijiji cha Busoka Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kulawiti alilolitenda kwa mama mwenye umri wa miaka 49 baada ya kumvamia akiwa amelala nyumbani kwake kisha kumwingilia kwa nguvu kinyume na maumbile. Hukumu hiyo imetolewa na Mhe.Hakimu Paul Barnabas Juni 12, 2026. Akisoma hukumu hiyo Mheshimiwa Hakimu Barnabas alisema kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Januari 02, 2026 baada ya kufika nyumbani kwa mhanga ambaye anaishi peke yake majira ya usiku wa manane kisha kuvunja mlango na kuingia ndani na kutekeleza adhima yake ya kihalifu. Mwendesha mashitaka wa serikali Wakili Sharon Sekemi akiwa mahakamani hapo alimuomba Mhe.Hakimu kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa huyo ili liwe fundisho kwake na vijana wengine wa kiume wenye tabia kama ya mtuhumiwa. #EasAfricaRadio
3
182
Mungu atabaki kuwa Mungu daima.
11
5
32
2,010
Makadirio ya idadi ya watu nchini Tanzania kwa mwaka 2026 yamefikia watu milioni 70, hii ni kwa muujibu wa NBS.
5
2
21
1,494
Mungu hujua kuwafuta machozi watu wake bila kujali umepitia maumivu ya muda mrefu kiasi gani. Hongera Wema Sepetu, Mwenyezi Mungu awakumbuke na wanawake wengine🙏
1
119
Kila mtu anapambana apate uhakika wa kula ni vile tu mifumo inagoma.
1
2
143
Haijalishi ni magumu mangapi tunapitia lakini bado tunakuamini.
9
368
Ukifikiria ulivyoamka salama huna budi kumshukuru Mungu maana kuna wengine leo wametenga msiba, wengine ni mahututi na haijulikani wataamka lini. Tuzidi kumuomba Mungu kwa neema hii ya uzima.
1
3
12
201
Penye uhakika wa watu kupata ulaji hapakosi migogoro au maneno.
11
527
Inamaana hakujiwekea kinga enzi za utawala wake? Huu ni uzembe sana🤪
Mahakama ya Seoul imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk-yeol, kifungo cha miaka 30 gerezani kufuatia kuhusika kwake katika operesheni ya Ndege zisizo na rubani (droni) zilizodaiwa kurushwa kuelekea Korea Kaskazini. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, operesheni hiyo ililenga kuchochea hali ya taharuki na kuandaa mazingira ya kutangaza Sheria ya Kijeshi mwaka 2024, jambo lililosababisha mvutano mkali wa kisiasa na Kijeshi kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini. Aidha, droni hizo zimeripotiwa kutawanya vijikaratasi vya propaganda ndani ya eneo la Korea Kaskazini, hatua iliyochochea ongezeko la taharuki katika mpaka wa Nchi hizo mbili ambazo bado zipo katika hali ya uhasama wa muda mrefu. Mahakama hiyo imesema ushahidi uliowasilishwa ulionesha kuwa hatua hizo zilihatarisha usalama wa Taifa na kudhoofisha utulivu wa kikanda, licha ya Yoon Suk-yeol kukana kuhusika na kutoa amri hiyo. Hata hivyo, hukumu hiyo imeongeza mfululizo wa maamuzi mazito dhidi ya Kiongozi huyo wa zamani, ambaye tayari alikuwa ameondolewa madarakani kupitia mchakato wa kikatiba ulioidhinishwa na Mahakama ya Kikatiba ya Nchi hiyo.#MillardAyoUPDATES
1
149
Wasamehewe hii yote ni sababu ya umasikini.
Wanafunzi 17 na mhitimu mmoja kutoka vyuo mbalimbali Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kughushi nyaraka, kutoa taarifa za uongo na kujipatia mikopo kwa njia za udanganyifu. Mahakama imesema kati ya Juni 2024 na Novemba 2025, washitakiwa walitumia mfumo wa OLAMS kuwasilisha taarifa za uongo, ikiwemo madai ya ulemavu wao au wa wazazi wao ili kupata kipaumbele katika mikopo ya elimu ya juu.
1
2
184
Miaka ijayo kuna vitu vingi tutabadilisha majina yaliyowekwa.
1
129
Kwenye kilimo wanaonufaika ni madalali wa mazao.
6
2
13
702
DevotaTweve retweeted
Haya maisha ukipata nafasi ya kuyaishi, ishi tu. Ni mafupi sana!
5
23
462
Ni ndogo mnooo….
Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya safari za ndani na nje za serikali
1
84
Maombi yangu yafike kwako🙏
85