Jina langu ni Yesaya, ninafundisha programming kwa kiswahili, naendesha majadiliano kuhusu TEHAMA, nafanya livestreams na kuhost podcast ya Yesaya Software.

Joined March 2011
Photos and videos
Kabla sijaanza kujaribu Claude Fable 5, imesepa 😭😭😭
2
6
489
Yesaya Software πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
I’m happy to share that the Central Bank of Tanzania (BOT) @BankOfTanzania has granted @SwahiliesPay our own Payment Service Provider (PSP) License. Over the past few years, we have worked with more than 15,000 SMEs through bookkeeping and embedded finance solutions. This license now allows us to build and launch our own financial products directly with licensed partners, while also serving businesses with higher transaction volumes. We are getting back to work, focused on building bigger things for businesses across Tanzania and Africa!
24
61
242
13,476
Yesaya Software πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeipa kampuni ya Swahilies Company Limited @swahilieshq leseni ya kutoa huduma za kifedha na malipo Nchini Tanzania. Kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikitoa huduma mbalimbali za kidijitali kupitia majukwaa yake kama @KuzaBusiness, imesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma zake kwa lengo la kuchochea ukuaji wa biashara za kidijitali Nchini. Akizungumza baada ya kupewa Leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Swahilies Company Limited John Haule, amesema, β€œtunaishukuru Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote cha mchakato wa kupata leseni hii, tunaamini hii ni hatua muhimu kuelekea kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma za malipo Nchini Tanzania,” amesema John Haule. #MillardAyoUPDATES
3
17
207
32,921
Yesaya Software πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
BREAKING NEWS 🚨 Selcom Pesa USD Global Account is Live!
6
16
83
4,658
Miezi 5 bila kugusa cash! 🀯 Maisha ya kidijitali inawezekana kabisa ukiwa na @SelcomPesa. πŸ”₯ Halafu toleo lao jipya linalokuruhusu kufungua USD Account ni GAME CHANGER aisee! πŸŒπŸ’΅ Mambo yamerahisishwa sana. (P.S. This is NOT a paid post, just appreciating good tech! πŸ™Œ)
4
536
Yesaya Software πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
May 11
Wiki iliyopita jumamosi tulianza session yetu ya kwanza shukran ziende kwa @YesayaSoftware pamoja na Edwin Ringo kwa kutupa madini haya Kama unataka kujoin group nafasi bado zipo karibuni.
May 1
Wakuu nani tuanze challenge ya spring boot mwezi huu?
2
3
18
583
Yesaya Software πŸ‡ΉπŸ‡Ώ retweeted
Tanzania, we built you something πŸ‘€ 30 guests only. Tuesday night in Dar es Salaam with me. First look at NALA Global Accounts, a US dollar account made for us. If you get paid in USD or want to store money in USD, or send money cross border from Tanania, you need to be in this room. Apply now, closes when it closes πŸ‘‡ luma.com/nalatz-usd
15
62
433
81,185
Angalia hii, security imepata tiba kwenye AI coding βœ…
Apr 30
Claude Security is now in public beta for Claude Enterprise customers. Claude scans your codebase for vulnerabilities, validates each finding to cut false positives, and suggests patches you can review and approve.
2
90
Ninekutana na hii somewhere, nijibu na wewe kuhusu Data Analysis, kuna hizi concept, ipi sahihi?
0% Data Driven Decision
0% Data Informed Decision
0 votes β€’ Final results
1
81
21km kwenye miguu yangu! βœ… Zaidi ya kumaliza umbali huu kwa mara ya kwanza, nimejifunza nguvu ya kuweka malengo na kutokata tamaa. Ukiamua, mwili unatii. πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸ’¨ #21km #HalfMarathon #Malengo
2
7
174
Umetengeza kiasi gani kwa msaada wa AI?
3
1
7
1,201
Nimepakia video 3 YouTube, ile hii moja sio ya kukosa ni dakika 20 za faida. Jifunze Gemini AI: Tafuta Wazo Sahihi la Biashara kwa Dakika Kadhaa! πŸš€ youtu.be/5Cy-dd3Fbgg
4
141
Video ipo YouTube tayari na nimezungumzia Jinsi Nilivyotengeneza Website ya Portfolio Yangu kwa Kutumia AI! πŸš€ Link iko hapa youtu.be/aUHaeYAQX10
2
9
219
Umejifunza nini kuhusu Akili Unde weekend hii?
8
11
1,041
Chungulia hii, mambo ni speed sana utachoka wewe. Stitch by Google
Introducing the new @stitchbygoogle, Google’s vibe design platform that transforms natural language into high-fidelity designs in one seamless flow. 🎨Create with a smarter design agent: Describe a new business concept or app vision and see it take shape on an AI-native canvas. ⚑️ Iterate quickly: Stitch screens together into interactive prototypes and manage your brand with a portable design system. 🎀 Collaborate with voice: Use hands-free voice interactions to update layouts and explore new variations in real-time. Try it now (Age 18 only. Currently available in English and in countries where Gemini is supported.) β†’ stitch.withgoogle.com
1
141
Waziri wa Sheria wa Singapore ametoa kauli nzito! πŸ‡ΈπŸ‡¬ Anasema 44% ya kazi zote za kisheria sasa zinafanywa na Akili Unde (AI). 🀯 Hii ni ishara tosha kuwa teknolojia inabadilisha sekta ya sheria kwa kasi sana. Wanasheria wetu, mmejipangaje na mapinduzi haya? βš–οΈπŸ€– #AkiliUnde
1
7
394
Umeanzaje weekend yako? 5km run πŸƒπŸΌπŸƒπŸΌπŸƒπŸΌ Push up 100 Jumping jacks 100 Tuck Crunch 100πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
1
12
304
Zoezi la leo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ 5km run πŸƒπŸΌπŸƒπŸΌπŸƒπŸΌ Push up 100 Jumping jacks 100 Tuck Crunch 100 Nambie mazoezi uliyofanya leo
3
185
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
4
91