Joined January 2024
258 Photos and videos
Tabasamu moja linaweza kubadili maisha ya mtu. 😊🧡 Jiunge nasi katika safari ya kurejesha matumaini, upendo na furaha kwa wale wanaohitaji zaidi. Kila mchango, kila sala na kila ushiriki vina maana kubwa. 📌 M-PESA LIPA NAMBA: 37321168 [AGENT OF SMILE] #TUNALIREJESHA
5
Agent of S.M.I.L.E retweeted
Changia, shiriki, jitolee au omba nasi tunapojiandaa kurejesha tabasamu Morogoro tarehe 27 Juni. 📌 M-PESA LIPA NAMBA: 37321168 [AGENT OF SMILE] #TUNALIREJESHA #Morogoro #AgentOfSmile #JustSmile
1
1
4
Siku moja. Maeneo matatu. TABASAMU zaidi. 🧡😊 Jiunge nasi tunaporejesha matumaini, kushiriki upendo na kugusa maisha ya wengi Morogoro tarehe 27 Juni, 2026. Shiriki nasi kwa kuchangia kupitia M-PESA LIPA NAMBA: 37321168 [AGENT OF SMILE] #TUNALIREJESHA #AgentOfSmile #Smile
7
Agent of S.M.I.L.E retweeted
A smile worth waiting for… 😊 27th June, 2026 | Save It 🔥 More smiles. More impact. More love. #AgentOfSmile #JustSmile #SpreadSmiles
1
1
7
Happy New April… A new month to SMILE more.. 😊👏🏽😇 ~ Just Smile! 🫰🏽😊 #AgentOfSmile #JustSmile #HappyNewMonth #smile #RestoreTheSmiles
1
3
14
Agent of S.M.I.L.E retweeted
TUNAREJESHA TABASAMU, polepole lakini hakika. 🫰🏽😊🤍 ~ Just Smile! #AgentOfSmile #JustSmile #RestoreTheSmiles
2
3
17
TUMELIREJESHA 🤍 Asanteni sana kwa upendo wenu, michango yenu na uwepo wenu. Kwa pamoja, tumefanikiwa kurejesha tabasamu na matumaini. #AgentOfSmile #JustSmile #RestoreTheSmile
3
Agent of S.M.I.L.E retweeted
TUMELIREJESHA 🤍✨ Thank you for your love, support, and presence. Smiles are restored, hope is renewed. Together, we keep going… #AgentOfSmile #JustSmile #RestoreTheSmile
1
1
5
Agent of S.M.I.L.E retweeted
TUMELIREJESHA 🤍✨ Asante kwa upendo, michango na uwepo wenu. Tabasamu zimerejea, matumaini yamehuishwa. Tunaendelea pamoja… #AgentOfSmile #JustSmile #RestoreTheSmile
1
1
5
Agent of S.M.I.L.E retweeted
After love, we play. ⚽🔥 TUNALIREJESHA continues… Agent of Smile 🆚 Brothers Tanzania Tuko pamoja hadi mwisho 💛 #TUNALIREJESHA #AgentOfSmile #JustSmile #FriendlyMatch #BrothersTanzania
1
1
7
Agent of S.M.I.L.E retweeted
Only 1 day to go! ⏳ Jiunge nasi kwenye TUNALIREJESHA Charity Outreach – 21 March, 2026 huko Jerusalem Children’s Home, Kibada - Kigamboni, Dar es Salaam. @jerusalem_org Karibu kushiriki au kuchangia kusaidia kurejesha tabasamu kwa watoto. 🤍
1
1
1
6
Only 1 day to go! ⏳ Jiunge nasi kwenye TUNALIREJESHA Charity Outreach – 21 March, 2026 huko Jerusalem Children’s Home, Kibada - Kigamboni, Dar es Salaam. @jerusalem_org Karibu kushiriki au kuchangia kusaidia kurejesha tabasamu kwa watoto. 🤍
1
1
1
6
📲 Changia kupitia: M-PESA Lipa Namba: 37321168 (Agent of Smile) #TUNALIREJESHA #AgentOfSmile #CharityOutreach #jerusalemnewlifenewbegining #JustSmile
4
Agent of S.M.I.L.E retweeted
Only 2 days to go! ⏳ Jiunge nasi kwenye TUNALIREJESHA Charity Outreach – 21 March, 2026 huko Jerusalem Children’s Home, Kibada - Kigamboni, Dar es Salaam. 📲 Changia kupitia: M-PESA Lipa Namba: 37321168 (Agent of Smile) #TUNALIREJESHA #AgentOfSmile #CharityOutreach
1
1
7