Surviving is winning🌵| Theatre of Dreams🔴⚽️

Joined November 2021
12,040 Photos and videos
Bob Kipara retweeted
Team utayochagua isiwe nyuma dakika 90 zote za mchezo, ikiisha 0-0 au akashinda bila kutanguliwa imetiki. Kifupi kusiwe na Come back wala kutanguliwa😁
Twitter wakubet, hii option ina maana gani pale sportybet??maana kiingereza cha Ras simba kimepigwa apa kuelewa😂💀
2
1
1
375
Kanji shikamoo, aya mambo unalala af hela zako zinapambaniwa uwanjani jau sana😂😂😂
8
9
127
3,476
Ila betting bhana Unapunwa mashindano yoyote watu hawana userious na pesa za wakamaria😂🔥
2
20
797
Twitter wakubet, hii option ina maana gani pale sportybet??maana kiingereza cha Ras simba kimepigwa apa kuelewa😂💀
13
8
106
11,892
Bob Kipara retweeted
Na unakuta umekata zaidi ya saa mzima kituoni ili upate seat ukae
Umegombania seat ya Daladala hadi umepitia Dirishani umekaa Unapumua😤, Mara anapanda mzee anakuangalia kwa kuchoka😂💔
1
1
6
374
Umegombania seat ya Daladala hadi umepitia Dirishani umekaa Unapumua😤, Mara anapanda mzee anakuangalia kwa kuchoka😂💔
28
30
364
16,180
Bob Kipara retweeted
7/10 designer hajapona ulazima wa kuweka picha ya majengo ya ofisi za timu. Very cool👍
Jezi ni mbaya kama sio timu yako, Unaipa ngapi kati ya 1/10 uzi mpya Home kit wa Newcastle?? Me: just 5.5/10🥶
2
2
5
379
Jezi ni mbaya kama sio timu yako, Unaipa ngapi kati ya 1/10 uzi mpya Home kit wa Newcastle?? Me: just 5.5/10🥶
4
2
58
1,656
CR7 ndo anguko lao otherwise awe anakula ubao nje na kina Leao😆😂
15
8
144
3,048
Bob Kipara retweeted
UKWELI MCHUNGU WA MAISHA AMBAO KILA MWANAUME LAZIMA AUKUBALI 1. Hakuna mtu anayekuja kukuokoa. Inuka ujipambanie 2. Hakuna anayejali visingizio vyako. 3. Watu wengi watakuunga mkono baada ya wewe kufanikiwa. 4. Tabia na nidhamu ndizo zinazotengeneza mustakabali kesho yako. 5. Pesa zinatatua matatizo mengi. Usichoke kuitafuta 6. Hakuna mtu anayelazimika kukuelewa. 7. Unakuwa kama watu wanaokuzunguka. Chagua Marafiki wanaokujenga na wanaopenda kukuona ukikua 8 . Familia unayotengeneza ni bora sana kuliko Familia unayotoka 9 . Uamuzi mmoja mbaya unaweza kubadilisha kila kitu. 10. Daima baki kuwa mnyenyekevu usichukulie kwamba unajua mengi kuliko mtu mwingine yeyote
8
19
55
3,567
Hawa uturuki naona watafika mbali sana hii World cup, ile kundi lao kwanza ni viande tu kwa macho😃
2
7
102
1,144
Mimi naipenda sana Portugal ya Bruno Fernandes ila natamani sana CR7 yule awe anakula benchii tuu otherwise wanangu wa Argentina tunabeba tena hiii😁🔥
8
4
67
1,260
Bob Kipara retweeted
Watu wengi watakushauri ukishafika, lakini ukiwa njiani utakuwa peke yako. Jifunze kuwa shabiki namba moja wa hustle zako.
14
22
59
921
Why united fans hawamtaki Romero kitasa😤😤
8
2
57
2,112
Kama Harmonize big fish in town ana nyumba zaidi ya 30 Dar, tutafuteni hela aisee😂😂😂💔
1
12
348
Uzuri kila World cup huwa inatuletea star boy mpya kwenye football, cant wait on this one😃
6
9
137
2,584
Bob Kipara retweeted
Just because you don't like someone doesn't mean they'll fail. God isn't from your village. Stop thinking your opinion controls someone else's destiny.
66
582
1,880
28,286
Galactico ni Alvarez au Olise??na Atletico na Bayern wote wamebana???ila siasa bhana😂😂🙌
4
4
73
1,270
Tusisahau kupenda afya zetu aisee, bila afya bora hakuna cha maana utaweza kukipigania kimaisha kwa ufanisi.
2
8
41
612
Bob Kipara retweeted
Who’s better, Alex Scott or Matheus Fernandes?
14
4
70
1,684