Unatoka kejani kama umevaa short na vest kuingia kibandasky for one elite combo ya ugali samaki na mrenda
On your way unapitia local kugotea your self employed drunkard hombres
Ghafla bin vuu unapigwa Guinness nne unaambiwa kaa chini kuna order ya nyama imewekwa inachiek
MEN!