Joined October 2021
1,643 Photos and videos
Pinned Tweet
Aina tano (5) za SURUALI ambazo mshkaji hutakiwi kuzikosa, Kumbuka Mavazi yana kutambulisha hata kabla hujasema chochote, Muonekano wako, utarahisisha baadhi ya mambo au kufanya baadhi ya mambo kuwa magumu. Cheki na hizi 5 🔥🔥🔥🔥🔥 #Uzi👇 1. Official/ formal pant
80
522
1,824
174,918
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Maisha yako ni safari ya mchakato. Lazima uweke ushahidi wa unachokifanya - Consistency. Lazima uweke ushahidi kwamba unaweza kufanya unachokifanya -Experience. Ukithibitisha hilo, ni rahisi sana kukua kwenye unachofanya. Uishi MCHAKATO.
2
11
39
982
OPTIMIST ⚔️ retweeted
ukishafika miaka 25 kuwa handsome haisaidii tena fanya kazi tu.😂
32
98
611
12,442
Kwenye kila story, huwa kuna kastory ambako hakasemwi!
Aisee kuna kitu kinashangaza sana kwenye MAPENZI kuna Dada mmoja nilinunua nae kiwanja sehem moja dom yeye alijenga nakuhamia,hajaolewa bdo hivi majuzi alinipgia kua anashida san ya 800k hana msaada zaidi yangu (tunajuana) basi nikamwambia kiukweli siko vizuri ngoja ila
40
OPTIMIST ⚔️ retweeted
09:15 su, Jul 23 Do good and always good will comes to you! // Fanya mema na siku zote mema yatakujia! Nilipata kusoma hadithi flani, katika kitabu kimoja. Kulikuwapo na tajiri mmoja, aliyekuwa na mashamba na mali nyingi,
3
5
7
528
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Sometimes ni Bora ukae sehemu ya mateso na ugumu ukipambania ndoto zako, kuliko kuwa sehemu ya starehe na burudani huku ukitimiza ndoto za wengine! *Ndege Hutumia Mafuta mengi Sana ikiwa inajipanga kuruka tu, baada ya hapo No Biggie! 🚀
1
1
116
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Kuna watu wangekuwa wewe, Wangekuwa mbali Sana kimaendeleo,!! Unahisi kwanini?
1
2
96
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Tabia ambazo mwanaume anapaswa kuziacha: •Uvutaji sigara •Matumizi ya dawa za kulevya •Uzinzi •Ulevi kupita kiasi •Kujichua (masturbation ya kupindukia) •Simping (kujishusha kwa mwanamke kupita kiasi) •Uvivu •Hasira na ukatili usio na sababu •Uchawa
4
18
177
5,257
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Ishi kwa Kujua Muda wowote Maisha yanakushangaza. #Firstmate
1
3
110
OPTIMIST ⚔️ retweeted
1. Usisahau kupumzika. 2. Usisahau kula vizuri. 3. Usisahau kulala. 4. Usisahau afya yako. 5. Usisahau mwili wako. 6. Usisahau Kusali. 7. Usisahau kuwa na 500k sehemu.
4
24
106
2,383
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Mtaani kuna Aina za watu hawa! 1. Yule jamaa angesoma sijui angekuwaje, Yuko smart Sana na mambo yake anayaendesha kisomi. 2. Yule jamaa kama vile hakwenda shule vile- Yani mambo anayofanya ya kujua mwenyewe, sijui asingesoma ingekuwaje Epuka kuwa namba 2 #Firstmate
1
3
105
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Mwanaume Kazi unayofanya kama sio SERIKALINI, tambua upo kwenye biashara ya mtu. Fanya kazi kwa malengo. USIJISAHAU.
5
16
182
4,243
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Ikibidi upunguze MAZOEA na watu furani ili muendelee KUHESHIMIANA. #Firstmate
2
2
80
OPTIMIST ⚔️ retweeted
Kama watu hawatocheka kuhusu MIPANGO yako, basi haina maajabi- Hakuna cha Maana🚨 #Firstmate
2
2
76