#TajiriLaKihaya
Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa)Anasema;
Nao wake wana haki kama ambayo (ya waume zao) iliyo juu yao kwa mujibu wa shariy’ah. Na wanaume wana daraja zaidi juu yao.
[Al-Baqara: 228]
UISLAMU umempendelea saana mwanamke…
Na zifuatzo ni Haki ya mke kutoka Kwa Mume:
1-Ni wajibu wa mume kumlisha mkewe kumvisha na kumtimizia mahitaji yake.
2-Mume ana haki kumfunza adabu mke anapohisi mke anamuasi.
3-Ni wajibu wa mume kumhifadhi mke kwa kila njia. Mume awe ndio mlinzi na msimamizi wa mambo yake na ndiye mwenye majukumu ya kumhudumia:
Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake kwa kuwa Allaah Amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine na pia kwa ambayo wanatoa katika mali zao.
[An-Nisaa: 34]
Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
"Mwanamme ni mchunga (msimamizi) wa nyumbani kwake na ataulizwa kuhusu uchungaji (usimamizi) wake" [Al-Bukhaariy na Muslim]
Hawa wazungu ndio wamekoja kututesea wanawake zetu- wanafanya kazi ngumu wanarudi nyumban wamechoka ,wanakua na mawazo, wanatia rushwa ya ngono makazin ili wapate kazi na kupendwa na maboss zao!
Uislamu unamlinda mwanamke kwa wivu mkubwa saaana💯
Haki Za Mume Kutoka Kwa Mke:
1-Mke amtii mumewe na atambue kwamba ni amri ilotiliwa nguvu na Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kwa kuwa amesema:
"Ningeliweza kumuamrisha mtu amsujudie binaadamu mwenzake, ningeliamrisha mwanamke amsujudie mume wake kwa jinsi haki ya mume ilivyo tukufu kwa mke wake" Tuhfat Al-Ahwadhi 4.323 kutoka Tafsiyr ya Ibn Kathiyr
2-Mke inampasa kumuitikia mumewe anapomhitaji kujimai naye. Kutomtimizia haja yake bila ya sababu inayokubalika katika Shariy’ah ya Dini ni kulaaniwa na Malaika kwa dalili:
"Mume atakapomwita mkewe kitandani na mke akikataa, basi Malaika watakuwa wanamlaani huyo mke mpaka asubuhi". [Imepokelewa na Imaam Al-Bukhaariy]
3-Haimpasi mke kutoka nyumbani kwake bila ya idhini ya mumewe (hata kwenda kwa wazazi wake ila kwa makubaliaono).
5-Haimpasi mwanamke kumfanyia ujeuri, ufedhuli au usafihi mumewe. Atakapokuwa ni kinyume cha hivyo akamtii mumewe basi amepewa fadhila kubwa ya kuingia Jannah (Peponi):
Kutoka kwa Abdur-Rahmaan bin 'Awf (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Mwanamke atakaposwali Swalaah zake tano, akafunga Swawm mwezi wake (wa Ramadhwaan), akahifadhi sehemu zake za siri (asifanye uzinifu), akamtii mume wake, ataambiwa ingia Jannah (Peponi) kupitia mlango wowote autakao." Swahiyh at-Targhiyb
@EsirEid kuna malalamiko huku wanasema umejikita kwenye dini wakati MwenyeziMungu amewatukuza wanawake akawashushia surah nzima ya An Nisaa yenye aya 176 na akampa Maryam sura nzima yenye aya 98 still una wafanyia dhihaka wanawake!
Je ni kweli ndugu? Kwani uislam unasemaje?
Tunakumbushana tu maana tumeambiwa tukumbushane
“na semeni na watu kwa wema,”
The Qur'an teaches us to 'Speak Good to People'- not just muslims not just males 📌
Quran 2:83
Tanzania has constructed East Africa's longest bridge, Magufuli Bridge on Lake Victoria at a cost of $300 million.
It has reduced travel time from 2 hours to 4 minutes.
The 3.2km long bridge will boost trade with neighbouring countries, Uganda, Rwanda and Burundi.
EACOP kwa nini tuulinde (Thread)
Mpaka kufikia mwaka 2014, Uganda, Kenya na Rwanda ziliamua kuunda Umoja wao nje ya Jumuiya ya A.Mashariki kwa kile walichodai Tanzania ilikua ikiwakwamisha, 'Coalition of the willing' walijiita. Nia yao ilikua ni kupeana madili mbalimbali (1)
Hello,, kuna hii project hapa ya kuwasaidia watu wenye uhitaji waweze kupata japo iftar nao wakafarijika , Namba za kuchangia hizo apo lakini pia ukitaka kupeleka tambi ,sukari na vitu vingine wasiliana nao,Allahu Barik
Post harvest lost in Africa is a major problem, we should promote value addition at grassroot levels and encourage investments in food processing industry and value chain.
This is very true, you have vision and real desire for your country and people. My advice create strong institutions that will make all that you wish for your people to be effectively implimented even after you are not in the office.
Africa must reform its education system from being academic to practical solution provision. This will require robust curriculum development which addresses industry and development needs. Artisans are a crucial component for any economy to function.
#SWAiTEX
It's time Africa created a system that does not depend on an individual to deliver development for its people but rather institutions and systems backed by positive legislation.
#SWAiTEX
Whoever lied to you that “Wearing a trouser, long shirt and covering your hair with just a scarf” is a proper way of how a Muslim woman should dress. You all need to go back and ask again or read about a permissible Hijab to a Muslim woman.
You've been using social media to engage with fans and grow your brand? But you want to start using social media channels to make more visibility and sales?
This is an excellent idea, let's meet this weekend on Saturday
Call us 0656488927 or check us on DM
Join us this saturday on 27th August 2022, And learn about digital content marketing and the power of content marketing in business
Place;Lai Marketing Agency Office
Registration cost;Free(ten seats available)
Click this link. bit.ly/3PVh07K
Nashukuru kwa Taarifa hii nimewasiliana na Mh DC wa kibaha nimemuomba amtafute huyu mwananchi na kumsaidia kupitia SIDO na wizara ya kilimo tuna promote “Value addition” through backyard processing hana tofauti na wale wa alizeti wanaouza Barabarani ni Jukumu letu kuwasaidia