Certified Financial Educator(CFE)|Accounting and Financial Analysis |Business Administrator(Overall Best Student)|Global Macro Analyst

Joined February 2023
654 Photos and videos
Pinned Tweet
The last program that I did, with the Late Prof Honesty Ngowi(May he rest in peace) tuliangazia namna migogoro ya kijiopolitiki inavyoweza athiri uchumi wa nchi zinazoendelea. And this will be my pinned post from now on. #Apinnedpost
3
8
32
11,637
"Budget is an Estimate of Revenue and Expenditure" #FinanceDaily #FinancialAnalysis #EconomicAnalysis
72
*"Non tax revenue".
40
"Tax revenue and Non-revenue" #FinancialAnalysis #EconomicAnalysis #FinanceDaily
3
4
772
"Public Expenditure and the Monetary Cycle" #FiscalPolicy #FinanceDaily
2
3
65
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @KennedyMmari
Inaweza kutumika Human Development Index au Gini Coefficient kujua maendeleo halisi ya Household kwa maana ya Economic Growth inabeba ukuaji wa GDP ila Economic Development imebeba Uchumi wa watu.
1
1
84
Kipimo kizuri cha Economic Development kwa maana ya kugusa mifuko ya watu kinaweza kuwa "Human Development Index" au hata "Gini Coefficient". Ila ifahamike kuwa kila tool ya tafiti ina limitations zake.
Limitations za kipimo cha GDP per capita zipo kwenye Income Inequality,Non Market Transactions,Haioneshi ukubwa wa Informal Sectors na yupi hunufaika na Uzalishaji. Pia formula yake inaipunguza Total GDP mkiwa na population kubwa kwasababu denominator ina "total population".
29
Limitations za kipimo cha GDP per capita zipo kwenye Income Inequality,Non Market Transactions,Haioneshi ukubwa wa Informal Sectors na yupi hunufaika na Uzalishaji. Pia formula yake inaipunguza Total GDP mkiwa na population kubwa kwasababu denominator ina "total population".
Kwa mujibu wa ripoti za mwisho za IMF, Uganda imefanikiwa kuipiku Tanzania kwa GDP per capita baada ya zaidi ya muongo mmoja Tanzania ikiwa mbele. Ingawa mimi bado siamini kabisa kuwa per capita ni kipimo cha maana cha kuangalia kwenye maendeleo ya watu.
2
1
1
483
1
2
103
Inaweza kuwa sahihi kwenye Forex Translation,vipi kuhusu Purchasing Power na Real Income? Hii ni Forex Translation Loss au ni Actual Spending Loss ya ndani? Kuhusu USD na Inflation yake je? Consideration ya Local returns? Nakubali kwenye Hedging ila Strategy ni Incomplete.
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara. Kimya kimya. Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH TSh 5,000,000 = ~$2,028 Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH TSh 5,000,000 = ~$1,915 Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320. Maana yake umepoteza karibu: ❌ TSh 294,320 kila mwezi ❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka Bila kupunguza mshahara wako. Bila kubadilisha kazi. Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT. Sio kwa sababu wanapenda usd. Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani. Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
1
95
Ally Mkimo📝 retweeted
Kuna vitu vinakosekana kwenye hoja yake ikiwemo suala la Inflation,purchasing power ya ndani pamoja na real Income kwa ujumla vinaweza kushuka pasi na uwepo wa mabadiliko ya USD.
1
1
5
293
Ally Mkimo📝 retweeted
Kati ya kununua kiwanja/nyumba na kuwekeza kwenye Hatifungani (Bonds) za Serikali, ni uwekezaji upi salama na wenye tija zaidi kwa kijana wa Kitanzania kwa sasa? Tupe sababu yako. @ally_mkimo
4
2
5
453
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @angelish17
Jibu la wapi niwekeze linategemea na malengo ya muwekezaji Angel. Wealth Creation ya muda mrefu ipo kwenye Kiwanja/Nyumba na inategemea asset hii ipo eneo gani na umei-price vipi hadi kufikia payback period. Liquidity na uhakika wa mapato ulio fixed basi uta-opt kwa Bonds walau
1
2
1
160
"Economic Diplomacy" #Uchanganuzi #Utv #FinanceDaily
1
2
87
"Economic Diplomacy" #Uchanganuzi #Utv #FinanceDaily
54
"The role of Infrastructure in Economic Development" #FinancialAnalysis #EconomicAnalysis #Morningtrumpet #Utv #FinanceDaily
1
1
46
Sekta ya Nishati inakupa zaidi ya Commodities kwanza imefungamanishwa na zile Popular au Strong Currencies. Mfano Mafuta tu peke yake yana nguvu tosha ya kuipa Nchi yoyote ile "Geo-political leverage". Mafuta hutumika hadi kwenye kufanya "hedging" kwa Financial Markets.
Mtu anayecontrol Energy Globally ndio the Real King.
83