Kwa mtu anayehitaji simu yenye software experience bora, battery nzuri, camera kali hasa upande wa picha, AI experience ya kibabe, na design ya kuvutia, basi Pixel 10 Pro XL inaweza kuwa chaguo sahihi.
Hautajutia pesa yako. Na ukipata nafasi, nunua mpya ili uwe mtumiaji wa kwanza. Utakuja kunishukuru baadae.