Jumapili ni siku ya watu kutulia majumbani na sehemu tulivu wakiwa na wapendwa wao, au familia zao.
Kama wewe ni mbunifu kitu cha kipekee unachoweza kukifanya siku ya leo na kikakupa faida zaidi ni hiki hapa ๐
๐ Download & Install NISAPOTI APP kupitia PlayStore au AppStore
Je una digital products kama courses, templates, ebooks au huduma za kidigitali?
Sasa unaweza kutengeneza duka lako, kupakia bidhaa na huduma zako, na kuanza kuuza saa 24/7, kupitia NISAPOTI App โจ
๐ Download & Install Now: PlayStore na AppStore
HELLO CREATORS ๐ข๐ข๐ข
Sasa rasmi tunaitambulisha NISAPOTI APP, na kuanzia sasa inapatikana kupitia PlayStore na AppStore.
Creators NISAPOTI = MONEY
Download & Install Now: ๐
PlayStore: play.google.com/store/apps/dโฆ
AppStore: apps.apple.com/gb/app/nisapoโฆ
Available Appstore na playstore
Wewe kama unauza digital product yoyote unaweza ukapublish nisapoti.com na ukaweza kutrack mauzo yako kwa urahisi zaidi na watu wakalipia hata ukiwa umelala usiku wa manane ๐ซต๐พ haina haja ya wewe kuwa active ili kuwahudumia wateja wako
Kuna ofisi moja nilikuwepo nalipwa around 1.5-2M alafu anayenisimamia nifanye kazi๐ analipwa 8M nikamuambia boss kazi ninazofanya ungeajiri watu 5 ila nafanya mwenyewe
Ongeza hadi 3.5M anasema hana hela nikaresign
Nilikuwa replaced na watu 3 ila ilichukua mdaa sana
Umeajiriwa unalipwa mshahara 3M
Ofisini wewe ndio mtu pekee unayejua kufanya unachofanya, na ni ngumu kuwa replaced
Unaomba mshahara upandishwe hadi 5M
Unapewa options 2
1. Ubaki na mshahara wa 3M
2. Uwafundishe wenzio unachofanya upewe mshahara wa 6M
Utachagua option ipi?
Tuacheni kudanganyana maisha ya sasa hivi kwa mwezi bila 2M-3M hutoboi unless uwe unaishi kama panyaa wazee
Mshahara wa 300k - 1M ni pesa ya kukufanya usife tu na njaa maisha yamepanda nani Magumu sanaa
Kingine hatuwezi kuwa sawa wote hujashika 1M ndomana unaona kubwa
Umeona kabisa maisha yamepanda kila kitu bei juu
baadala ujiongeze na wewe bado upo hapo ofisini unasubiria hiyo laki 8 au 1M kwa mwezi ambayo inaishia kwenye mihogo na nauli ๐ซต๐พ๐ซต๐พ
#TajiriLaKihaya
Twende mbele turudi nyumaโฆ
Kama Mwanaume ukitulia ukatafakuriโฆ
Utagundua kwamba hakuna Faida yoyote ya Kufanya mapenzi Nje ya Ndoa yako!
Ni akili tu Yakijingaโฆ
UCHI HAUSHIBIโฆ. hata ukipewa Mabinti wote dunianiโฆ. Bado utataka wa Mars โฆ tena utataka hadi Aliens!
Kikubwa nkumuomba Mungu akupe Roho na moyo wa kuushinda Tamaa!
Alhamdulillahโฆ mm usiku huu moyo huo na Roho hio NMEIPATA๐๐ฝ
Sasa hapa nijiandae tu Kuhiji Makkah Mwakani,In asha Allah!
Dhambi ya Uzinifu haitawahi nipata tenaโฆ
Am Born again!
Janjaa umeanza kuongea usenge sasa
Embu pata leseni kwanza uje siku nikupe 1 uendeshe alafu uje kuongea huo ujinga hapo tena otherwise endelea kuuza sabuni za magari
Hivi mnafahamu kuwa hakuna Mark X yoyote ile Bongo yenye cylinder 4? ๐๐. Mule Kuna 6 cylinders V6.
Crown anachomzidi Mark X ni muonekano wake mzuri, comfortability ndani, interior ndo maana wanaiita Benz ya kijapan.
Lakini performance wise & sportiness MARK X is clear kwa ๐
Nisapoti empowers all kinds of creativity, whether you're designing and drawing arts, singing, doing comedy, developing systems ect ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ
Register today via link in our bio and start earning from your biggest fans and supporters โจ
nisapoti.com
Support your favorite creators today โจ
Nisapoti empowers creators across Tanzania to share their art, music, and content while earning support from their biggest fans and their community
Content creators NISAPOTI = MONEY ๐ฐ
Register today nisapoti.com
Ikiwa watu wengi wanafuatilia mitandao yako ya kijamii, na unapata likes, comments na engagement kubwa kutokana na unachokifanya (uandishi, ubunifu wa maudhui (stories), uchekeshaji, nk)
Basi ule muda wa kuanza kujipatia kipato ndio huu.
Jisajili sasa nisapoti.com
Kuna kipindi nilikua broke big-time nikakosa mpaka hela ya kulipia internet.
Nilikua juu ya mawe 10/10.
Nakumbuka kilichonisaidia ni kiasi kilichokua @Nisapoti_Africa nikaenda ku-withdraw pale nikalipia internet paap.
Kuna kipindi nilikua broke big-time nikakosa mpaka hela ya kulipia internet.
Nilikua juu ya mawe 10/10.
Nakumbuka kilichonisaidia ni kiasi kilichokua @Nisapoti_Africa nikaenda ku-withdraw pale nikalipia internet paap.
Behind every piece of art, music or contents you love, there's a dream. A dream that needs support to grow ๐๐
Be part of NISAPOTI, empower Tanzanian creators to share their talent build their future, and earn directly from people who believe in them.
nisapoti.com
Nlikuwa nasafiri Dodoma tu Mwanza. Karibu na Bahi nilipiga shimo nikapata pancha.Mafundi wakawa wanaziba pancha huku wanapiga stori.
Fundi 1; โHii barabara wakitengeneza hizi kazi tutazisahau, tutazikosa kabisaโ.
Fundi wa pili; Ila Mungu fundi, utashangaa atatuletea kitu kingine kabisaโ.