Now this is becoming unbearably annoying and childish. I don't see the relevance of opening up as a non visa hub and yet making it difficult for investors to a country.
Surely I have been an eye witness in whatever occured in my youth age. I have to make sure that I relate it to the living before it dies with me!
DO NOT WITH-HOLD THE HISTORY THAT YOU HAVE.
*TANGAZO LA TANZIA*
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Twasikitika kuwatangazia kifo cha Mama Afiya Bakaran. Marehemu ni mamake Abud Mbarak Gandus na Ali Abubakar Bahdhar pamoja na Dada zao. Mauti yalimpata alipokuwa akiuguzwa na mwanae katika mtaa wa Mikindani...
Wakenya tuache Propaganda nyingi, tuweni wakweli na Mungu Atatuabriki. Lakini tukiwa ni warongo wa kuoakizana machafu na kutenda Dhulm, basi kiboko cha Mungu ni KIKALI SANA.