RADIO & TV Personality| Founder BORN TO SHINE clothing Line | Dozen Selection

Joined August 2009
2,174 Photos and videos
Pinned Tweet
20 Aug 2025
🎙️ The mic is back in my hands! New season loading…………………… Same voice, new season. This Saturday we kick off something special! Lock in on IG & YouTube → ⁦@dozenselection_⁩ Sauti ileile, msimu mpya, Jumamosi hii!🌟 YouTube na Instagram ⁦@dozenselection_
1
9
2,392
Hamisi Mandi retweeted
7 May 2025
🔴 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛𝘿𝘼𝙔 ⚪️ 🆚 PSG 🕗 8pm (UK) 🏆 Champions League 🏟️ Parc des Princes
1,217
4,312
27,807
1,338,866
12 Dec 2024
Kila Siku December unakua Bongo, Hebu Washtue watesi wako Msimu huu wa sikukuu uende Zako DUBAI kwa Dola 399 tu na hio ni nauli ya kwenda na kurudi na unabeba pisi 3 za mizigo. Book ticket yako kwenye airtanzania.co.tz au piga 255 748 773 900 #SafiriZaidi #LipaKidogo
3
1
16
2,839
10 Dec 2024
Imagine unahitaji tu USD 399 Unasafiri Zako Msimu Huu Wa Sikukuu Mpaka DUBAI na @airtanzania_atcl alafu isitoshe VISA zinatolewa pale pale kwenye ofisi za @airtanzania_atcl kwa USD 90 tu, Usikae Kinyonge Msimu huu wa sikukuu wakati AIR TANZANIA Ipo kwa ajili yako na Familia Yako
1
5
2,004
Hamisi Mandi retweeted
Ladies and gentlemen of TOT it’s officially December I am available for all events , bbq , parties , clubs , day drinking please text I bring Johari, cups and a speaker 🙌🏾 please RT my next party is on your TL 😂
12
88
201
23,675
7 Jul 2024
Kuuliza Bei, ila kununua aaah 😄😄
9
11
324
14,570
5 Jul 2024
Ulikuwa wakati mzuri Mr President @Caamil8 #YoungAfricans ⚽️ @YoungAfricansSC
17
39
1,897
40,495
16 Dec 2023
You Were Born To Shine! 😀 @FKihamu
Kimavazi bado sana😀
12
10
510
24,550
Hamisi Mandi retweeted
8 Oct 2023
WHAT A WIN ❤️
3,786
36,966
152,174
7,084,898
Hamisi Mandi retweeted
8 Oct 2023
Emirates Stadium erupts 🤩
485
6,052
39,204
1,050,268
4 Sep 2023
#GetToKnow Rapa #Drake amempa shabiki huyu zawadi ya ($50,000) zaidi ya TSh. MILIONI 125 ikiwa kama sehemu ya shukrani kwa kitendo cha shabiki huyo kuuza Furniture zake za ndani kwa ajili ya kupata pesa za kununua Tiketi ya kuingia kwenye onesho la Drizzy.
5
4
66
4,999
4 Sep 2023
#GetToKnow Tory Lanez ameripotiwa kufunga ndoa na baby mama wake Raina Chassagne, kipindi hiki ambacho yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka 10. Wawili hao kwa pamoja wana mtoto mmoja aitwaye Kai mwenye umri wa miaka 6.
4
4
95
5,636
1 Sep 2023
#GetToKnow Ziara ya Beyonce ‘RENAISSANCE World Tour’ imekuwa ziara iliyotengeneza pesa nyingi zaidi kwa Mwanamuziki wa Kike kwenye historia, imeingiza kiasi cha ($461 million) zaidi ya TSh. TRILIONI 1.1
3
41
3,419
31 Aug 2023
#GetToKnow Tory Lanez alikata rufaa kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 10 Jela, hukumu ambayo ilitolewa Agosti 8 mwaka huu. Sasa rufaa hiyo imetajwa kusikilizwa Septemba 5 mwaka huu.
1
2
65
4,005
31 Aug 2023
#GetToKnow Gabriel Cannon ambaye ni Kaka wa Mchekeshaji na Muigizaji #NickCannon amekiri kwamba, hawezi kutaja majina ya watoto wote 12 wa Nick Cannon. “Na siwezi hata kujaribu kuyataja.” 😄
2
57
3,231
31 Aug 2023
#GetToKnow Rais wa Cameroon Paul Biya mwenye umri wa miaka 90 amefanya mabadiliko muhimu kwenye Wizara ya Ulinzi kwa kuongeza watu kwa ajili ya shughuli za ndani na nje ya Wizara hiyo. Mabadiliko hayo yanatafsiriwa kuwa kama kitendo cha kujihami kwa Rais huyo kufuatia 1/2
4
6
58
4,819
31 Aug 2023
2/2 Mapinduzi ya Kijeshi nchini Gabon wiki hii ambayo yameshuhudia Rais Ali Bongo akiondoshwa Madarakani na Wanajeshi wa Taifa hilo. Rais Paul Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982 akihudumu kwa kipindi cha miaka 41, pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu toka mwaka 1975/1982.
7
1,619
31 Aug 2023
Zanzibar, Here We Come…
5
12
209
9,480
24 Aug 2023
The END of the new BEGINNING 🥂
6
5
149
4,997