Hii day nimecall wamboi akaniambia mambo shwari, masaa yake ikafika nkalipia bnb, sikujua hufai kulipia chumba kabla mchumba hajafika, nkatuma za uber, alisema ni punch nkaseti 25 to ease my way with the daughter of eve buana, worst mistake, hiyo siku karibu nikabe nyoka buana