Joined July 2013
5,797 Photos and videos
Pinned Tweet
Nani kaiba vijiko 🥄? Basi unaambiwa Zai kijiwenongwa kaitwa kituoni kujibu mashtaka, kamkuta Bi Star na Dr. Almasi sura mbuzi 😡 wanataka kujua nani kaiba vijiko. Mara paap, simu inaita 📲 …𝘵𝘪𝘭𝘪𝘭𝘪𝘵𝘪𝘭𝘪𝘭𝘪𝘪…kupokea tu anakutana na Habari za ushindi.
55
11
51
30,658
Kumbukumbu Adhimu Mwaka 2008, Benki yetu iliandika historia kwa kuzindua matawi yanayotembea 'Mobile Branch' kusogeza huduma mahali ambapo hakukuwa na matawi ya kawaida. Leo hii, Benki ina matawi haya yanayotembea 12 ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya dhati ya kuwafikia Watanzania popote pale walipo. Hii si huduma tu ni safari ya ubunifu, fursa, na ujumuishi wa kifedha unaogusa maisha ya watu kila siku. #CRDBBank #CRDBAt30 #30YearsAnniversary
40
3
24
11,171
“Kua uyaone ila sio maghorofa” Samahani wahenga, 😂sie tunatafuta Washindi 5 tuwapeleke Ulaya wakashangae maghorofa na kula bata. Unaweza kuwa wewe 🫵kama unafanya miamala kwa TemboCard Visa yoyote! na kama huna akaunti ya CRDB unaweza kuomba TemboCard Prepaid kupitia link ya nne kwenye Bio yetu chap uanze kufanya miamala. #tembocardnishwaa #crdbbank #tunakusikiliza
13
1
7
8,011
Umeboresha taarifa zako? Ndugu Mteja,tafadhali fika tawi la CRDB na kitambulisho (NIDA/ Kura /Leseni/ Mkazi /Pasipoti) kuboresha taarifa za akaunti na kujisajili kwa alama za vidole. #crdbbank #tunakusikiliza
9
1
9
6,359
Swahiba ashiriki uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje. Benki ya CRDB imeshiriki katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001, toleo jipya la mwaka 2024, uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na mgeni rasm Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na Mh. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Tukiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Bi Azmina Hemed, pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Biashara, Bw. Jacob Nangi na timu ya wafanyakazi kutoka benki, kama mdau mkubwa wa maendeleo na fursa za uchumi ndani na nje ya nchi, Benki yetu inaunga mkono hatua hii kubwa ya kisera na itaendelea kushirikiana kwa karibu na Wizara ya Mambo ya Nje katika kila eneo muhimu ili kutekeleza malengo ya sera hii kwa manufaa ya taifa letu. Katika kuunga mkono kauli mbiu, Dunia ni Fursa! Miaka 30 ya Benki ya CRDB ni mfano wa kuigwa kama Benki ya kwanza kukamata fursa nje ya nchi na kutanua mbawa za huduma za kibenki nchini Burundi, Congo, na sasa tunajiandaa kufungua fursa mpya Dubai, huku tukiendelea kuangazia fursa zaidi barani Afrika, kama visiwa vya Komoro na Zambia, kwa kuzingatia mwelekeo wa maono ya serikali yetu. Lakini pia, benki yetu imeboresha mchakato wa kufungua akaunti kwa Watanzania wote, wakiwemo wanaoishi nje ya nchi (Diaspora), ambapo kwa sasa wanaweza kufungua akaunti zao wenyewe kupitia programu ya SimBanking huku tukihakikisha tumewaondolea adha ya ada za kila mwezi. Tukiwa kama Benki kiongozi, tunaendelea kushirikiana na Serikali na taasisi binafsi kusukuma grudumu la maendelo ndani na nje ya nchi #CRDBBank #DuniaNiFursa #tunakusikiliza
4
1
5
4,733
Hakunaga tarehe ngumu Ni wewe tu hujajiunga na akaunti ya Mshahara ya CRDB inayokupa Salary Advance muda wowote Pata Salary Advance hadi 50% ya mshahara wako Faidi Mkopo wa haraka hadi shilingi Milioni 200 Tumia SimBanking na TemboCard #crdbsalaryaccount #crdbbank #tunakusikiliza
8
11
16
6,487
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳 Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈. Tupigie 0800 008 000 au karibu tawi la Benki ya CRDB leo #crdbbank #tunakusikiliza
2
12
10
4,823
Jamani Amarah wa Paula na Marioo ameyapatia👶 Binti ana kesho bora na Junior Jumbo Account ya CRDB Bank. Hii ni akaunti spesho kwa mtoto wako. Tembelea tawi la Benki ya CRDB la karibu umfungulie mwanao kisha anza kumuwekea akiba. #crdbjuniorjumboaccount #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
6
12
22
4,594
Dunia yote tunayo! Hamisha pesa kwa Internet Bank kwa safari mbalimbali kama vile dola, paundi, Euro na nyinginezo ukiwa popote duniani Tembelea tawi lolote la benki ya CRDB kujiunga na huduma ya Internet Banking #crdbbank #tunakusikiliza
1
11
12
3,749
Kombe la Shirikisho kumekucha!⚽️ Mfano wa hundi ya kitita cha shilingi Milioni 1 imekabidhiwa Man of the match kwenye #crdbbankfederationcup2025 Max Nzengeli katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliopigwa Mkwakwani Stadium, Tanga kati ya Yanga na JKT ambapo Yanga aliibuka kidedea kwa goli mbili sifuri. Msisahau kumkumbusha Max aifanyie miamala hela yake na SimBanking na kujishindia toyota IST kila baada ya miezi miwili. Hii ni moja ya mafanikio ya kuboli kiushindani #crdbbankfederationcup2025 #bolikiushindani #crdbbank #tunakusikiliza
6
1,662
Sogea @pizzahuttz na familia, kuna ofa Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @pizzahuttz tukurudishie 10% ya bili yako. Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu. Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link: crdbbank.co.tz/sw/campaign/p… #crdbtembocardshwaaa #crdbbank #tunakusikiliza
3
1,603
Saa sita mbali sana kaka! Daka hadi milioni 1 kupitia Mkopo wa Jinasue wa SimBanking App utume CRDB kwenda CRDB tena BUUREEE! Mkopo ni hadi shilingi milioni 1 Rudisha ndani siku 30 Fungua SimBanking > Mkopo > Jinasue Pakua App ya SimBanking au piga *150*03# #simbankinghumutu #crdbbank #tunakusikiliza
4
7
13
2,361
Amani ya Bwana iwe nawe ✝️ Ukiwa na SimBanking unaweza kutoa Sadaka kwa niaba ya mtu mwingine na ikafika kanisani ⛪️ Piga *150*03# Chagua 3 Sadaka, Chagua 2 toa Sadaka, Chagua 1 kwa niaba kisha endelea. #benkinisimbanking #crdbbank #tunakusikiliza
6
11
13
2,680
Utamu wa Kwio 🍗wa KFC 10% ya mkwanja inarudishwa kwako na CRDB TemboCard💳 Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @kfctanzania tukurudishie 10% ya bili yako. Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu. Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link ya nne ya bio ya @crdbbankplc #crdbtembocardshwaaa #crdbbank #tunakusikiliza
4
1
1,169
Taarifa kwa Umma Maboresho ya muda wa huduma kwenye matawi yafuatayo 📍Geita 📍Njombe 📍Tanga 📍Mbagala 📍Tabora #crdbbank #tunakusikiliza
2
1
5
1,302
Kila kitu kipo kwenye SimBanking Ukipokea mkwnja kwa SimBanking📲 utumie ndani ya SimBanking kwa kufanya bili zako zote humu tu ujiongezee nafasi ya kushinda GARI jipya aina ya Toyota IST kila baada ya miezi miwili au Toyota Harrier mwisho wa mwaka Pakua SimBanking App kupitia Play Store au App Store au bofya *150*03# #simbankinghumutu #crdbbank #tunakusikiliza
1
1
908
Jumaa Mubarak! Ukiwa na SimBanking ni shwari kabisa. Piga *150*03# au fungua SimBanking App kuanza sasa Chagua 3 SADAKA Chagua 2 Toa Sadaka Chagua 1 Binafsi Weka namba husika ya Nyumba ya Ibada kisha endelea #benkinisimbanking #crdbbank #tunakusikiliza
4
1,009
Uwekezaji wako umefungua milango ya fursa jumuishi ukileta huduma za kifedha zinazoendana na mahitaji halisi na imani ya jamii yetu. Tukielekea kwenye Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa tarehe 17 Mei 2025, utakaotanguliwa na Semina ya Wanahisa tarehe 16 Mei 2025 katika Kituo chaKimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), tunasema:“Mwanahisa, pokea maua yako!” #CRDBBank #CRDBAt30 #PokeaMauaYako
1
879
Ila Milioni 4 kubwa nyie @crdbbankplc Sasa maswahiba kama sisi tunaweza kutamba kwenye ATM na kutoa hadi shilingi MILIONI 4, sio lazima uingie tawini. #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
5
11
18
2,957
Taarifa kwa Umma Kuongeza muda wa huduma baada ya saa za kazi katika tawi la CRDB la TPA #crdbbank #tunakusikiliza
1
4
7
1,002
Hali ya hewa isikuletee kiwingu⛈️ Tunakusoti pale unapokumbwa na majanga ya hali yoyote ukikata Bima ya nyumba kwetu. Bima kuanzia Tsh Elfu 59 Uharibifu wa Moto, Mafuriko, Radi, Tetemeko na mengineyo. #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
1
4
5
1,077