Joined October 2019
212 Photos and videos
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dr.Victoria Kwakwa atembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), afurahishwa na bunifu alizoziona
1
5
188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ajionea namna DIT ilivyojipanga katika kuzalisha vijana mahiri watakaoisaidia nchi.
1
2
7
304
Tuna uhakika na wahitimu wetu kuwa wanaajirika,wana uwezo wa kujiajiri kabisa,ameyasema Profesa Ndomba (kulia) ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya DIT
2
2
11
424
Mahafali ya 18 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam Duru ya pili Kampasi ya Mwanza wahitimu waaswa kutumia ujuzi wao kutatua changamoto za jamii
6
268
Waziri wa Elimu,Utafiti na Ubunifu Mheshimiwa Martina Hirayama toka nchini Uswis ametembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT),na kuona jinsi Taasisi hiyo imejizatiti kwenye masuala ya Teknolojia,Ufundi na Ubunifu
1
169
Mhandisi Dkt.Richard Masika aishukuru Serikali kwa juhudi zake kwani imeisaidia DIT kuingia katika mchakato wa kurusha Satelaiti ya kwanza nchini.
1
107
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT),Taaluma,Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof.Ezekiel Amri amewataka wanafunzi wapya waliochaguliwa kujiunga na masomo kufuata sheria na taratibu zilizopo ili waweze kufikia malengo yao
1
6
181
DKT. SAMIA AIKABIDHI DIT TUZO YA MSHINDI WA TATU KWA KUFANYA VIZURI KATIKA UKAGUZI WA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
1
11
561
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam kupitia kituo cha Umahiri cha Tehama (ITCoEICT) imefunga mafunzo ya siku 10 kwa wahandisi wanaosimamia mradi wa Kimkakati wa Taifa wa SGR yaliyofanyika kwenye Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
1
2
13
273
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Taaluma,Utafiti na Ushauri wa kitaalam Prof.Ezekiel Amri amefungua mafunzo ya ufatiliaji na ukaguzi wa matumizi Bora ya nishati yanayohusisha wataalam kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali
1
5
184