ุงู„ู„ู‡ู… ุตู„ ูˆุณู„ู… ุนู„ ุณูŠุฏู†ุง ู…ุญู…ุฏ ูˆุนู„ ุงู„ู‡ ูˆุตุญุจู‡ ูˆุณู„ู… ๐Ÿ™

Joined September 2024
908 Photos and videos
kuna muda tusiwalaumu wasiopenda mafanikio yetu maana ndio wanatupa nguvu yakuzidi kupambana ๐Ÿ”ฉ
56
99
209
17,636
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Naomba Repost Yako๐Ÿ™โ™ฅ โฐCASIO COPY-baole rangi zote zipo ๐Ÿ’ฐ20000 โ˜Ž0752777167 ๐Ÿ“MwanAnyamala A
18
87
102
2,420
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Kama kawaida yetu tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu. Good Morning X Family.
24
29
48
772
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
"Ukitaka kujenga himaya yako, acha kusikiliza ushauri wa watu ambao hawajawahi hata kufua mbeleko. Mind yako, hustle yako." Good Morning hustlers ๐Ÿ’ช๐ŸŒค
30
32
55
1,009
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Hellow Brother And Sister Habarinรฌ za Asubuhi
18
24
50
907
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Maisha yamenifundisha rasmi kwamba mtu yeyote anaweza kubadilika, bila kujali historia au uhusiano uliokuwepo. Watu hubadilika kila wakati wanapokutana na watu wapya wanaowaona ni bora kuliko wewe. Hata hivyo, usijali na usiathirike na matendo yao. FANYA KAMA WANAVYOFANYA WAO. GOOD MORNING โœ…๏ธ HAPPY MONDAY'S โœ…๏ธ
26
37
55
1,533
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Good morning my friends,It's another day to go hard again.
73
77
110
1,260
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Sabah al-khayr! Let's start our day with alhamdulillah. Allah's blessings be with you this morning and always. Lovely day ahead ๐Ÿ˜Š
12
17
28
319
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Another day to chase the bag. Good morning X family?
42
34
57
810
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Kuiona siku ya leo nayo ni Baraka Kubwa kutoka kwa yule.. Asieonekana, Anaeamua juu ya Mambo yote, Asie na upendeleo. Tumshukuru yeye na tumkabidhi hii siku.๐Ÿ™ Goodmorning everyoneโœจ๏ธ #Habefidem
13
28
38
416
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Kama umeamka salama drop your username we connect Now
71
32
68
812
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Good morning Leo ni nafasi nyingine ya kuanza upya na kufanya mambo kwa namna bora zaidi Usibebe makosa ya jana yatumie kama somo si kama mzigo
23
33
51
1,174
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Wajibu wetu ni kutafta pesa ili tuweze kujenga maisha yenye furaha kwetu.. Kwenye Maisha usiache kuthubutu kama ivory coast. Jifunze kutokana na makosa kama Australia Good morning family
22
15
31
667
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Kumekucha tena leo Gm x familia๐Ÿค
25
28
37
593
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Good morning SiMi mutuals ๐Ÿ˜‹ Where are you tweeting from today ๐Ÿ˜Š
134
97
171
2,639
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Hello ladies and gentlemen.. Good morning ๐Ÿ˜Ž๐ŸŒ„๐ŸŒ„
21
28
53
857
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Tunaanza Mungu asante kwa siku nyingine tena๐Ÿ™ Good Morning Brothers &sisters๐ŸŒน
44
47
74
1,302
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Good morning Afrika, drop those handles, let's follow you familia.
84
68
107
921
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Wiki mpya, malengo mapya, matumaini mapya. Kila unapoamka asubuhi kumbuka kuwa bado una nafasi ya kubadilisha maisha yako kwa juhudi, nidhamu na maamuzi sahihi. Wale waliokata tamaa jana waanze tena leo, waliokwama waendelee kusonga mbele, na waliokuwa karibu kufanikiwa wasichoke. Mungu akabariki kazi za mikono yetu, akatujalie riziki halali na kutupa ushindi katika mapambano yetu ya kila siku. Tuifanye wiki hii kuwa bora kuliko iliyopita.
14
22
30
440
kumekucha tena Mungu atupe siku tulivu na yenye furaha nzuri kama furaha tunayoipataga tukivaa nguo mpya ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
6
8
12
147
๐๐š๐ฒ๐จ๐ซ ๐Ÿ๐ ๐Ÿ”ฉ retweeted
Za asubuhi
2
2
4
74