Hii imeasha tokea chuo pia, muuza mayai aliacha mayai ya kuchemsha robo trey kuenda kutafuta chenji na akishia moja kwa moja.
Tulinunua madafu na wife mawili beach paje ila bahati mbaya muuzaji hana chenji ya 10k, kuonyesha imani akatuachia madafu matatu kwamba anaenda kuchenji, jamaa kapotea moja kwa mojaโฆ!!