Hapa colloh haezi toboa π
Leo nmeenda OTC kufika nkaambiwa gari ndio imetoka cbd...eh!-π...nkasema siezi ngoja ntapanda ingine, nkaambiwa basi niteremke hadi kwa bridge inaningojaππ, nkafika nkapata gari imesimama hapo inaningoja akizπππ..how I love AliππΊπ²