A media personality & MC @mcambua East African | From Dar es salaam, Tanzania

Joined May 2013
44 Photos and videos
Dullah Planet retweeted
Kwa baraka zote kutoka kwa Rais wa @CrownMediaTZ amemkabidhi taji la ushindi wa kujiunga kwenye Familia ya kifamle. Bingwa kabisa, uzoefu wa kutosha, kiswahili safi, aliyeibeba Bongo Fleva mabegani kwa miaka 15 @dullah_planet planet kwa pamoja tumkaribishe FUNDI NYUMBANI.
29
76
638
22,777
#ndoampyatown Mwamba Huyu Hapa👌🏽 ABDULRAZAQ & SALMA💕 Umejipata kaka👊🏽 Dj: @djgweta_tz Venue : @gmelegancehall 📸 : @mtakigamba #McAmbua🎤 instagram.com/p/CmljuhXtCVx/…
3
1,215
KAMA KULIKUWA NA UMUHIMU WA KUWA NA MC WATATU BASI WANGEPANGWA VIZURI ILI KILA MTU AFANYE KAZI YAKE KWA UHURU NA UFANISI…. HONGERA WANANCHI🔥
3
13
Director nguli wa Video za muziki wa Bongofleva nchini, Hanscana amewachana wasanii wa muziki huo wanaowaza kupata shangwe jukwani na sio kufanya show nzuri na kuongeza kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya shangwe na performance nzuri.
1
21
Kwa mujibu wa Insta story ya Hanscana ameandika; "Kuna tofauti kubwa kati ya show nzuri na shangwe. Wengi mna-show mbaya mmmmmno kila anayepanda analilia shangwe anasahau performance yani atafanya vyovyote apate shangwe.
1
5
Wengine wanavua hadi nguo mradi apate ka clip watu wanampigia makelele, apost IG ajifurahishe. But not anything to improve perfomance" - Director Hanscana. Wewe ni kipi huwa kinakuboa kwenye shows za wasanii wetu wa Bongofleva?
6
Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja nchi 10 zenye amani zaidi mwaka 2022, Kusini mwa Jangwa la Sahara. Nchi hizo ni; 1. Senegal, alama 70 2. Namibia, alama 68 3. Malawi, alama 65 4. Guinea ya Ikweta, alama 59 5. Zambia, alama 56
1
7
6. Sierra Leone, alama 50 7. Botswana, alama 48 8. Gambia, alama 45 9. Ghana, alama 40 10. Mauritius, alama 28
1
4
YES !! Tunaenda hivi leo #Planetbongo @earadiofm @nikkwapili
2
2
26
Dullah Planet retweeted
Oyeeee ✊🏽 kidumu milele! 🤣🤣 Muwe wavumilivu jamani! Subirini kidogo mambo yatakaa sawa! 👋🏽 mi nimegoma kushiriki lakini ktk uendawazimu acha nibaki na timamu yangu Ijumaa kuu njema!
2 Apr 2021
Ccm hoyeeee
7
10
107
🔥🔥🔥 DaDa Manager
Go Hard or Go Home! Najivunia kuwatazama sana, nyie ni watu bora na bingwa kwenye Gurudumu hili la BongoFleva @EceJay Ua a Legend Sis ❤️ Keep doing at what u do best! @dullahplanet Wewe na Rais katika utangazaji wa Bongo Flava! Endeleza Umwamba #SalamaNa #YAHStoneTown
2
1
25
Unaweza kuitazama SASA
#SalamaNaDulla tayari iko YouTube na link ndo hii youtu.be/CWg0UVWzR5k 😉
1
13
Dullah Planet retweeted
“Wataalam wanakuwambia, Ukiona mwanamke anakimbia bondeni kafiwa na baba yake, muacheni atarudi hatafika chini, lakini mkimuona mwanamke anakimbilia bondeni sababu mumewe kaongeza mke wa pili muwahini anaenda kujitupa.”- #Dulla
1
10
53
Dullah Planet retweeted
22 Oct 2020
Usiku huu kwenye #SalamaNa cc @YahStoneTown
1
2
30