Wakikuchafua nakufua unatakata,
Njoo nikufungulie dunia uje kua unachotaka,
Kabla ya kumsugua akiona mua tuu anadata,
Staili nyingi za mbwa ila milio ndo ya paka,
Kabla ya kumpakata namla denda
Leo gigy money kampa Papa Papa wemba,
Bebe flani ya kwenda🎶🎵