#TBT-
#ExpensiveLife-Mhubiri [9:7]Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako.
Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.
Kila unachotaka kufanya kifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima huko kuzimu unakokwenda."
A meal without wine is called breakfast.Easy like Sunday Evening . I see u da qute @aliciousm @aliciousm
#AskSC
#Hatukufundishi
#SeeYouAtTheTop