Jinsi ya Kutengeneza Icon za Logo Kutumia Smartphone na Pixellab - Episode 1
Unataka kutengeneza logo kwa kutumia simu yako ya mkononi?
Pixellab ni moja ya programu bora kabisa za kubuni (design) kwa urahisi kupitia smartphone yako!
📌 Episode 1: Utajifunza misingi ya kutumia Pixellab, kuanza na background, fonti za maandishi, na kuongeza rangi.
📌 Episode 2: Tutazama zaidi kwenye kudizaini logo, ukitumia shapes, layers, na effect za kipekee kuunda logo ya kipekee.
Haya ni mafunzo kwa yule anayeanza. Hakikisha hujakosa!
Repost.
Comment "Pixellab" Nikutumie
#DesignWithPixellab