Jumamosi hii katika dimba la Azam Complex itachezwa fainali ya First League, Hausing FC dhidi ya Gunners.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara ZBC2.
Je, ni Hausing au Gunners nani kuibuka bingwa wa First League?
#SisiNiSoka #Firstleaguefinal #ZBC2