Filter
Exclude
Time range
-
Near
Tunaendelea na info session ya KilimoTech Accelerator hapa TaifaTek ThinkStudio, Lugalo - Iringa! Vijana wanajifunza jinsi teknolojia inavyoweza kuboresha sekta ya kilimo na fursa zinazopatikana kupitia mradi huu. 🚜🌱 #KilimoTechAccelerator #TaifaTek
3
17
990