#KilimoTips
Nimewahi kupata hasara kwenye kilimo kiasi kwamba ilinibidi nianze kupita kila shina la mmea nikimwambia Mungu Shuka Baba, sikuiiti ushuke ila Shuka Baba.
Niligundua nilikuwa mjinga wa maarifa kwa wakati huo maana uvumbuzi wa tatizo ulikuwa ndani yangu kwa kutumia uwezo wa kupata maarifa na kuyatumia kutatua matatizo yangu.
Usiwekeze katika lolote pasina kuwa na maarifa. Maarifa ndiyo hukupa tija kwenye lolote unalotaka kulifanya.
#KilimoNiAjira