Unemployed ndo napigiwa kelele na panya zinakulania juu ya ceiling, zinanikumbusha vile ata senye sijaipata kwa mda mrefu,inabidi nitoke niote jua next to mama wa ploti akiotesha mtoto jua,ananiangalia kwa uoga juu ya venye morning borner imekataa kutulia💀 😫swali bado ni jamo😥