Filter
Exclude
Time range
-
Near
šŸ“ Kongwa, Dodoma ā–ŖļøELIMU YA LISHE BORA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA INAHITAJIKA ZAIDI KWA WANANCHI ā–ŖļøWadau kusambaza majiko banifu 300,000 katika wilaya 6 nchini ifikapo 2028 Serikali imesema kuwa elimu ya lishe bora na matumizi ya nishati safi inahitajika zaidi kwa wananchi ili wafahamu namna ya kuboresha afya ya familia na kutunza mazingira. Hayo yameelezwa na mwakilishi wa Mkurugenzi wa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia wa Wizara ya Nishati, Bi. Zuena Msuya wakati wa kuhitimisha maadhimisho ya siku ya lishe na nishati safi ya kupikia katika wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma. Msuya amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau wa nishati safi ikiwemo sekta binafsi na washirika wa maendeleo wataendelea kushirikiana katika kutekeleza miradi mbalimbali ya kuhakikisha watanzania wanapata elimu sahihi ya mapishi, lishe nora na matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda afya na kutunza mazingira. Pia kufikia lengo la kufukia asilimia 80 za watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034. ā€œ Ni jambo la faraja kuona utekelezaji wa mradi huu kwa wilaya ya Kongwa unaonekana kupitia mradi wa Boresha Mazingira, Tumia Jiko Banifu na lengo ni kusambaza majiko banifu 26,000 ifikapo 2029 na tayari majiko 15,000 yameshasambazwa katika wilaya hiyo." "Hii ni hatua kubwa inayochangia moja kwa moja kupunguza matumizi ya kuni na mkaa na kuimarisha afya za familia zetu kwa kuwa,ā€ alisema Msuya. Amesema kupitia mafunzo ya vitendo kwa wananchi kuhusu lishe bora na nishati safi kwa kutumia majiko banifu, hugusa familia moja kwa, mafunzo hayo ya matumizi ya nishati safi ya kupikia hulenga moja kwa moja hivyo kuimarisha lishe ili kuboresha afya na mazingira. Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika linalojihusisha na Teknolojia ya Nishati Mbadala kutoka Italia (Offgridsun) Valentina Quaranta amesema lengo la kutekeleza mradi huo ni kuunga mkono Serikali ya Tanzania ya kuwafikia wananchi wote nchini ili kuondokana na matumizi ya nishati isiyo salama, kutunza mazingira na kupunguza hewa ya ukaa duniani. Kwa Mwaka 2028 wamepanga kusambaza majiko banifu 300,000 ya itanufaisha wilaya sita nchini ambazo ni Kongwa, Chamwino, Bahi, Handeni na Shinyanga ambazo mradi huo utatekelezwa hatua kwa hatua tofauti ambapo kwa kuanzia sasa watasambaza majiko 200,000 kwa wilaya nne nchini. Akizungumzia wilaya hizo Quaranta amesema Shirika hilo limepanga kusambaza majiko banifu 52,000 katika Wilaya ya Kongwa, majiko 50,000 Chamwino, Handeni majiko 40,000 na Longido majiko 20,000 ifikapo mwaka 2027.
1
1
211
#WFP, in partnership with Kasulu & Kibondo District Councils, OffgridSun & @ncmctanzania is distributing 5,000 improved cookstoves to households in Kigoma region. These stoves replace traditional 3-stone fires, offering cleaner, safer & more efficient cooking.#CleanCooking
1
6
436
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule, leo Oktoba 29, 2024, ametembelewa na ugeni kutoka Kampuni ya OFFGRIDSUN ya nchini Italia inayotekeleza mradi wa ā€˜Green Cook stove’, utengenezaji na usambazaji wa majiko sanifu na banifu yanayotumia nishati safi Mkoa wa Dodoma.
3
37
Thanks to the #carbonfinance, ARE MembersĀ OffgridsunĀ andĀ Genius WatterĀ implemented a project inĀ #KenyaĀ aiming at providing safe drinking water to 50,000 people. 🟢Read more: ruralelec.org/newsletter/apr…
2
233
Installare impianti fotovoltaici, acquedotti o stufe a ridotto impatto possono essere operazioni sostenute con i crediti di carbonio volontari. L’esperienza della #startup italiana OffgridSun lo conferma. @IB_Energia bit.ly/3YXzYAh

1
3
303
23 May 2021
Storage will be key - thankfully SA has loads and will get more! hackaday.com/2019/12/16/the-…

#ASEUpdates #HaveYouHeard? šŸ“¢ #NewPartnership In other news, we have a new #announcement to make today ā¬‡ļø Check this out šŸ“¢šŸ“¢ For questions and queries DM šŸ“© or email @TheoBkgbng on ofetotse@africansunenergy.com šŸ“§ #SDG7 #DecadeOfAction #CleanEnergy #OffgridSun #Zimbabwe
1
Contributors: Boreal Light, @Coopbankenya, @GFMFotovoltaica, @ghampower, OffgridSun, Phaesun, @PracticalAction, @RyseEnergy, Seawater Greenhouse, @SELCOFoundation, @Simusolar, @SunCultureKenya, Tesvolt, UNIDO/TESE, Village Industrial Power
1
3
Investi nel futuro | campagna ECF di OffgridSun io vi ho investito e vi invito ad esaminare la proposta d’investimento e valutare l’opportunitĆ  e la missione di portare energia ā€œfuori reteā€ in Africa e nelle applicazioni in remoto. ⁦@BacktoWork24⁩ backtowork24.com/online-camp…

1
3